Recent content by Yamin619

  1. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaka yupo rumande, shemeji ananitaka kimapenzi

    Hainaga ushemeji tunakulaga
  2. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila tukipanga kukutana anakuja na girlfriend wake, nimechoka

    Jiangalie vizuri ila unavielement vya roho mbaya mixer na wivu
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, gari yangu imezama baharini kwa saa 24

    Gari yangu imezama kabisa baharini kwa muda wa masaa km 24 hivi ila now ishatolewa ipo nchi kavu, Nini kifanyike plz???
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF ni wanaume hewa?

    Kuna alteza zinatumia chips (kyepe) ungenunua hiyo wala ucnge pata tabu
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Km + ltr

    Thax wadau
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Km + ltr

    Wadau naomba kujua kwa gari aina ya VEROSA cc 1998 from Dar to Nachingwea about 590 Km liter ngapi naweza tumia??
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta friji kubwa

    Habari wakuu mbali mbali, Nina kabiashara nataka kukaanza kuuza chipsi. Natafuta friji kubwa la kuweka soda na maji. Mwenye nalo aniPM
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Yule aliehitaji Verosa anitafute

    Samahanini wadau kwa kutokuweka bei ni M 15
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Yule aliehitaji Verosa anitafute

    Samahanini wadau mm sio dalali mmiliki halali wa iyo gari kwa kutokuweka bei bei ni milioni 15 tu
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Yule aliehitaji Verosa anitafute

    Condition: Good Model : 2001 Cc: 1998 Full mziki with sports rims Haina tatizo lolote
Back
Top Bottom