Km + ltr

Tu-assume gari ipo katika condition nzuri, 2L engine itaenda kwa fuel consumption ya 10km/L kama alivyosema. Speed yako iwe 80-100kph. Kukanyaga sana mafuta kutasababisha ulaji zaidi. Pia, condition ya gari yako
 
Nimetoka arusha tabora about 670 km kwa pick up 1rz cc 2000 kwa speed kati ya 120-150 nimepata average ya 9km/l.
 
Back
Top Bottom