Recent content by Yaledi julius

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Jamani naombeni kujuzwa

    Naombeni kujulishwa kuna second selectio za form 4 zimetoka mwenye taarifa hizo anijulishe
  2. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna ubaya gani House girl akiwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanao?

    Naomba ni waulize swali nyie wachangia maada hivi kuoa hg nikosa?pili mapenzi haya chagui ni kitu tulicho kikuta ina maana mapenzi ni makubaliano kati ya watu 2 wakipendana kwhy hao wamependana, na we mama nahc unajua tabia ya hg wako kwahy ni jukumu lenu wazaz kumtathmi huyo hg wenu je...
  3. Y

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi wa kiume

    Niko hapa kama hautojali nitafute kwa 0757257889
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Natamani Kujifunza na Kuufahamu Uchawi

    hata yesu alikua mchawi maana alitembea juu ya maji
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Jamani ushauri wenu nauhitaji

    Kwa matokeo haya naweza kupata chuo cha nersing. Bio D chemi D phys D
  6. Y

    JamiiForums Tanzania ninaweza nikasoma nursing kwa matokeo haya?

    unaposema inabidi utoe maelezo mazuri kwakua unajua kuhusu chuo sio kuongea hata hauna uhakika.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania ninaweza nikasoma nursing kwa matokeo haya?

    Nenda chuo cha ,mifugo, kilimo maana nersing mpaka uwena na chem,phy ndicho wanacho zingatia zaidi
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Kisukuma ndani ya Nokia Lumia

    Bhebhe ngosha nakatogwa akasimu kene kalefuma nanale lulu....
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Nielewesheni kuhusu PPTNokai 6151

    Nielewesheni kuhusu neno ppt kwenye cm ya nokia kazi yake ni nini?
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa matokeo haya naweza kupata chuo?

    nieleweshe chuo kinapatika wapi?
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa matokeo haya naweza kupata chuo?

    nashukuru ndg
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa matokeo haya naweza kupata chuo?

    je kwa nersing
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa matokeo haya naweza kupata chuo?

    Ndg zangu poleni na mihangaiko ya hapa na pale hasa ya kimaisha.kwakweli mwenyezi mungu anamakusudi yake hapangi wote waende 4m 5,kwa matokeo yangu nimeambulia hiki kidogo nimepata 4 ya 30 kwa masomo haya,Bio D,Chem D,Phys D,Geog D na kisw D je kwa matokeo haya naweza kupata chuo chochote...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo Jamani wana Elimu

    kweli mkuu umenena maake jembe halimtupi mkulima tofauti na elimu
  15. Y

    JamiiForums Tanzania ushuri muhimu sana: unaweza soma nursing?

    Vyuo vipo lakini huyo anaweza kuku paracentamol badala ya dawa mseto, maana hana sifa kwanini asiende hata kilimo?
Back
Top Bottom