Kuna ubaya gani House girl akiwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanao?

Taratibu mkuu, msaidie da giLESi au kaa kimya.

Imagine kwamba wewe ndiyo baba na umeshawekeza mapesa kibao kwa kumsomesha kidume chako alafu kinaangukia kwa kibarua wenu wa nyumbani.

Yaani Da'Gilesi anatakiwa kuchukua hatua kabla mume wake hajagundua suala hili, litawaletea matatizo kwenye ndoa.
 
asante sana kwa hekima na busara zako
Dada giLESi hebu acha muda uzungumze.Mwache mwanao aende masomoni akirudi utajua tu.
"
Kama kuna upendo kati yao muda utazungumza kama ni kinyume chake utajua tu.
"
Binafsi sijui kama mtu kuwa H/girl ni matatizo mpaka udhani kuwa mwanao akimuoa huyo dada huenda kukawa na shida.
"
Nakupongeza kwa kutoonekana wewe kuwa kikwazo kwao,big up sana!
 
Mkuu giLESi, Kwanza chukua mwanao mpeleke kwa Mshauri Nasaha ili asahuriwe kuhusu maisha. Baada ya hapo mpeleke kituo cha "Angaza Zaidi" kupima afya yake, baada ya kupata majibu, KEMEA huo uhusiano, ikibidi mrudishe HG kwao. Future ya kijana inaharibiwa, badaa ya kuwaza shule, anawaza mapenzi anayopata bila gharama ya guest house. Sisemi kuwa HG sio mzuri wa kuoa, ila tatizo ni umri na jinsi anavyopatikana. Kama huo kijana angekuwa ameishamaliza Chuo Kikuu na kuamua mumwoa haina shida. Umri wa kumaliza form six sio umri wa mtu kujitambua na kufahamu nini maana ya kuoa. Katika umri huo, kila msichana unayekutana naye unaona ni mzuri. Aidha, kwa huyo kijana wako haingii gharama yo yote kwa huyo Binti kwa sababu wote wanakaa kwako na wanakula na kulala kwako, kwa maana hiyo huyo binti ni sawa na dada/mdogo wake. Vile vile sio tabia nzuri kwa mtoto wa kuime kuwa na mahusiano na binti ambaye wanaishi naye ndani, akisha maliza kujisomea, anazuga chumbani mwake, wazazi mkisha lala, anakanyagia visgino anaingia chumbani kwa HG au HG anaingia chumbani kwake, wanavunja amri ya 6 mpaka saa 11 alfajiri. Hapo shule haikumbukwi tena. Unategemea matokeo ya mtihani yawe mazuri ? Aidha, kama una watoto wa kiume zaidi ya mmoja, wanaweza kumla huyo binti wote. Aidha, kumbuka kuwa mabinti wa kazi mara nyingi wanakuwa na uhusiano na vijana wenye viosk au magenge jirani, sasa fikiria kuhusu hayo magonjwa.
 
Last edited by a moderator:
Kijana wako hajatupwa in the wilderness! Acha aingie in the wilderness, I know his perspective will change completely. Usimpe hope msichana wa watu ur son will not marry her!
 
HG ni mwanamke kama wewe na mtoto wako ana bahati sana kumpata mke ambaye sio msomi. Wanawake wasomi wanamatatizo chungu mzima! Heri huyo kuliko hao washika computer na BBS kila wakati

asante mama, ss watu ambao tunaanza kupata madaraka makubwa serekalini wengi wetu tulijifunzia kwa mahausegel tulijaribia zana zetu kwao, nawaheshimu sana kwa ss sithubutu kuwatongoza ni haramu kwangu ila halali kwa madogo. Mimi napambana na waliowaajiri.
 
inaonekana huyo mtoto umemlea indoor, hakuna anachowaza zaidi ya zero grazing coz hajatambulishwa na kuijua dunia ya nje.Amempenda house girl coz ndo mwanamke anaemuona kila siku nyumbani.
 
Let my boy learn thhrough his own mistakes.
Simpeleki angaza wala kwa mshauri nasaha
Mkuu giLESi, Kwanza chukua mwanao mpeleke kwa Mshauri Nasaha ili asahuriwe kuhusu maisha. Baada ya hapo mpeleke kituo cha "Angaza Zaidi" kupima afya yake, baada ya kupata majibu, KEMEA huo uhusiano, ikibidi mrudishe HG kwao. Future ya kijana inaharibiwa, badaa ya kuwaza shule, anawaza mapenzi anayopata bila gharama ya guest house. Sisemi kuwa HG sio mzuri wa kuoa, ila tatizo ni umri na jinsi anavyopatikana. Kama huo kijana angekuwa ameishamaliza Chuo Kikuu na kuamua mumwoa haina shida. Umri wa kumaliza form six sio umri wa mtu kujitambua na kufahamu nini maana ya kuoa. Katika umri huo, kila msichana unayekutana naye unaona ni mzuri. Aidha, kwa huyo kijana wako haingii gharama yo yote kwa huyo Binti kwa sababu wote wanakaa kwako na wanakula na kulala kwako, kwa maana hiyo huyo binti ni sawa na dada/mdogo wake. Vile vile sio tabia nzuri kwa mtoto wa kuime kuwa na mahusiano na binti ambaye wanaishi naye ndani, akisha maliza kujisomea, anazuga chumbani mwake, wazazi mkisha lala, anakanyagia visgino anaingia chumbani kwa HG au HG anaingia chumbani kwake, wanavunja amri ya 6 mpaka saa 11 alfajiri. Hapo shule haikumbukwi tena. Unategemea matokeo ya mtihani yawe mazuri ? Aidha, kama una watoto wa kiume zaidi ya mmoja, wanaweza kumla huyo binti wote. Aidha, kumbuka kuwa mabinti wa kazi mara nyingi wanakuwa na uhusiano na vijana wenye viosk au magenge jirani, sasa fikiria kuhusu hayo magonjwa.
 
Let my boy learn thhrough his own mistakes.
Simpeleki angaza wala kwa mshauri nasaha

Mkuu hujachelewa, unaweza kuokoa kitu. Usikate tamaa, fanya unachoona kinafaa kumweka kijana wako katika future nzuri, ikiwa ni pamoja kuthibiti tamaa za mwili wake. .....Mlee mwanao katika njia ifaayo, naye haitaicha takapokuwa mkubwa.....................
 
thanx:becky:

mwanao bado mdogo we kama mtu mzima unatakiwa kumshauri akasome na sizani kwa age yake bado hajawa wakuwa na familia labda kama utawalea wote acha mtoto akasome kwanza akirudi upeo wa akili yake utakuwa umechange na kama atakuwa amepata mwingine poa kama bado anapenda kufunga ndoa na dada wa kazi pia poa
 
Aiende shule kwanza then akirudi km bd hisia na upendo upo kwa dada wa kazi amuoe koz hisia hazipangwi zimwendee nani. pia gilesi walee wanao na kuwaelekeza kuwa dada wa kazi wamuone km ndg yao na kuwa karibu nao kujua mabadiliko yao kimwili na kutoruhusu mapenz ndani ya nyumba yaki. All in all i wish tha best.
 
Imagine kwamba wewe ndiyo baba na umeshawekeza mapesa kibao kwa kumsomesha kidume chako alafu kinaangukia kwa kibarua wenu wa nyumbani.

Yaani Da'Gilesi anatakiwa kuchukua hatua kabla mume wake hajagundua suala hili, litawaletea matatizo kwenye ndoa.
Nadhani mume wake anaelewa kuwa hata Ibrahim, baba wa mataifa, aliomba ruksa kutembea na mjakazi. halikadhalika dogo ameomba ruksa kenda na Hg. Wote ni binadamu anaitwa mjakazi kwa sababu anafanya kazi ndani kwake, lakini akiwa kwao haitwi mjakazi anaitwa binti kama mabinti wengine.
Ni kama mmiliki wa kampuni fulani anatembea na mfanyakazi wa kampuni hiyo na anampango wa kumuoa na inaonekana Ok.
Cha msingi dogo aende shule kwanza.
 
There is no problem there let them get married once ur son finished his study hg is like another women she has right to lov like another person Amen.
 
Naomba ni waulize swali nyie wachangia maada hivi kuoa hg nikosa?pili mapenzi haya chagui ni kitu tulicho kikuta ina maana mapenzi ni makubaliano kati ya watu 2 wakipendana kwhy hao wamependana, na we mama nahc unajua tabia ya hg wako kwahy ni jukumu lenu wazaz kumtathmi huyo hg wenu je anaweza kua na mtoto wenu kutokana na tabia yake hata kama ukisema akatafute msomi mwenzie je kama tabia wasiwezane.Hata hivyo huyo kijana sio mdogo wakusema hajajua baya na zuri, ni nachotaka kukushauri, waacheni kama wamependana kwa upendo wa dhat ila waandalien mazingira mazur ya kuish.kama kutengana watatengana wenyewe sio kuwatenganisha kwa nguvu mmoja anaweza kupata madhara either kujiua hasa kwa kujiona hana dhaman kumbukeni mapenzi hayana dereva.
 
huo ni upande mmoja,vp houseboy kwa binti yako,how ll u handle ths?usichukulie kawaida kwasababu mtoto wako ni wa kiume,kataza hayo mambo,offcourse yapo bt dont tolerate.
 
wapuuzi hao walianza zamani , ila soon watapigana chini inaonekana mtoto wako ulimbana sana kimaadili hakuwahi ku do kwingine. ili afanikiwe na huyo, mshauri asije akanywa pombe otherwise atamuona wa kawaida na kutafut mwingine
 
Akikosea kidogo tu, anaambiwa we mshamba tu kwanza nilikuokota ukiwa house girl
 
Back
Top Bottom