Makolo bhana mnajitekenya na kucheka wenyew
Mbona bwana wen Mo kachangia milion 150
Isitoshe na yy hajakatazwa kwnda kudhamini timu nyingine halaf apange matokeo
Mbona post yako hii uliotoa inakinzana taarifa na post yako uliyochapika tarehe 25 Feb 2025
Ile post umesema unamkopo leo unasema huna kabisa which is which
Komaa dogoo kusoma wengine hata huo mkopo ulioutaka wanautamani wapambanie ndoto
Acha starehe, acha kushindana wa watoti wa matajiri...
No hadithi kama hadithi nyingine za vilabuni
Validity ya andiko lako nikutuletea hilo andiko la zaman na la sasa tulinganishe na kujua aya gani imebadilishwa ama sura ipi
Huwez kusema haipo!! Na hayo marekebisho wamefanyiwa wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.