Hujui chochote, Tanzania imefeli vibaya mno kuiacha DRC ikipambana yenyewe Mashariki maa Congo, Tanzania ina Maslahi makubwa sana mashariki ya Congo kuiacha mashariki ya Congo ni ishara kuwa tuna viongozi wasioifahamu Geopolitics ya eneo la maziwa makuu.
Tuliona tuliyoyaona Zimbabwe ya Mugabe wa ZANU PF na Morgan Tsvangirai wa MDC, tuliyajua pia ya Venuzuela ya Hugo Chavez kabla ya Nicolas Maduro na baada ya Nicolas Maduro-Venezuela: Populism, Petro-State na Mporomoko wa kiuchumi. Huenda tuliona ndivyo sivyo na pengine zilikuwa ni taswira zaidi...
Ni nani alieyetoa amri ya kuua watu, hao wandaamanaji au wafanya vurugu walikuwa na silaha? Hakukuwa na namna nyingine zaidi ya kuwaua? Hao waliokuwa majumbani au waliokuwa na shughuli zao kisha wakapigwa Risasi walikuwa wanaganya vurugu ipi? Msilaumu watu kuandamana ni haki yao kikatiba...
Sijajua wanaweka kumvutia nani, wanaume wengi hawaungi mkono mwonekano wa mwanamke mwenye kucha ndefu. Asilimia kubwa ya wanawake wenye kucha ndefu wanakuwa wachafu sehemu za Siri. Sasa hivi nkiona mtu ana mikucha mirefu ya kufuga au kupachika najua tu huyu atakuwa ananuka uchi.
India ni nchi ya wahindu, waislam ni chini ya Milion 300 katika watu Bilion moja na nusu, na kuna chuki kubws ya wahindu kwa waoslam, kwa Dr. Zakir Naik kupewa kesi ya ugaidi ni issue ya kisiasa tu haimaanishi kwamba kweli ni Gaidi ni kama kesi ya Ugaidi ya Mbowe na Nelson Mandela ilivyokuwa...
Madam President and her predecessor the Late JPM both have common character on TISS, they don't have the roots on the instituion especially on senior spies. Most of their appointees based on hearsay and the so known Political Consultancy from their close aidees but the appointees lack a common...
Pili alipata ujauzito na katika harakati za kutaka kuutoa akaomba hela kwa insider, kisha mambo hayakwenda kama alivyopanga huenda alupoteza maisha au alikuwa mahututi asiyejitambua!
Joking!!
Wanavaa wenyewe na hawajalazimisha mtu. Hamkatazwi hata kutembea uchi, kuamulia watu mavazi ya kuvaa na kutovaa ni ubabe usio na msingi. Avaaye kufunikwa kichwa aachwe aamue avae na atakae kutembea uchi na bikini afanye hivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.