Recent content by yahyaramadhani

 1. Y

  Kunaweza kuwa na CHADEMA ASILI na CHADEMA MABADILIKO

  Wewe ni mwanachama wa ccm umetumwa.kushauri chadema igawanyike na hatimae ife.halafu ccm waendelee kukandamiza wananchi.kaa.ukijua.mgogoro huu ni mawimbi tu yaliyosababishwa na ccm kama ilivyofanya kwa nccr cuf sisi.chadema.tuko makini.tunatoawasaliti.tunajenga timu ya.ushindi 2014/2015
 2. Y

  Nani atatosha kuwa Waziri wetu wa Fedha baada ya kifo cha Dk. Mgimwa?

  Tujadili nini hapo mawaziri wanateuliwa na rais wanawajibika kwa rais sisi tusubiri tu maana lazima atateua mawaziri kuziba nafasi za alotengua uwaziri wale wanne na wengine mizigo kama ataamua .maana ni uamuzi wake
 3. Y

  Kupendana kuna raha yake!

  Wastaarabu waungwana wenye maadili hawana mada za ovyo kama yako unajionyesha ni jinsi gani sii mstaarabu hujiheshimu hujafunzwa adabu heshima nidhamu na wazazi weka.mada za.kuelimisha watu jamii
 4. Y

  Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

  Kwa uroho wa madaraka alinao hasa nafasi ya urais ataanzisha chama chake haraka na kukisajili haraka hata kama ni wanachama wake ni masai wa zanzibar na atatoa rushwa kwa msajili atagembea urais na kama akishindwa ataenda mahakamani kudai atangazwe rais halali wa nchi
 5. Y

  Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

  Ndugu yangu unajionesha jinsi ulivyo mjinga maana kila mara danhanywa lakini bado unarudia tena bus za meanza dar zenye huduma nzuri ziko nyingi na zinatafuta abiria tena bei ya 40000 tu nikusaidie siku nyinggine nenda zuberi .ma
 6. Y

  WasafIrI wa mwanza-dar' Princess Muro sio gari lakupanda!!!

  Ndugu yangu unajionesha jinsi ulivyo mjinga maana kila mara danhanywa lakini bado unarudia tena bus za meanza dar zenye huduma nzuri ziko nyingi na zinatafuta abiria tena bei ya 40000 tu nikusaidie siku nyinggine nenda zuberi .ma
 7. Y

  Mgomo wa EFDs: Kilichopo nyuma ya pazia. Serikali isimame IMARA

  Kama sio biashara ya kiongozi moja wa serikali basi tra iruhusu wafanyabiashara waagize wenyewe wanaojua iwe china uarabuni au hara mbinguni haafu serikali isajili tu na kuzipa namba au laa serikali iagize popote na kuwapa bure wafanyabiashara maana hawa ni vitegauchumi (sehemu ya kukusanyia...
 8. Y

  Kweli Tumeshtushwa na Shule ya Machala Yenye Mwalimu 1 Aliyefaulisha Wanafunzi Wote?

  Haya ni matunda ya utawala wa ccm na serikali yao maisha bora kwa kila mtanzania na kwenye umasikini sana ujinga sana ndipo ccm inashinda kwa kishindo shule za namna hizo ziko nyingi hasa jimbo la singida magharbi kwa mbunge wa ccm mohamedi misanga kata za mlandala mwaru irishya na sepuka kwao...
 9. Y

  chama cha mapinduzi, ccm kinaliangamiza taifa.

  CCM hawafai hata kidogo elimu wameua twiga wameuzwa faru halikadhalika rushwa iko serikalini na ccm yao hatuna sababu kuwa nao
Top Bottom