Umenikumbusha, Kuna jamaa mmoja alipaki gari Kwa muda mrefu karibu na maeneo ya bar za banana, nilikuwa nafanya shughuri zangu hapo, gari ilikuwa inanguruma muda mrefu bila ya yeye kushuka, mara akaniita na akanipatia elfu 10 bila ya kazi yoyote, akaendelea kujifungia kwenye gari, akamuita jamaa...
Wadau naulizia gharama za Nauli ya treni kutoka shinyanga kuja Dar maana kuna mtu nahitaji kumsafirisha.Pia nauliza hiyo nauli inakatwa Kwa booking au papo hapo, na kama jumapili treni ipo
Kuna kipindi Fulani Tbc walikuwa wanachukua camera Kwa Siri wanafunzi wapya wa shule Fulani ya bweni wakipokelewa reception, Sasa walikuwa wanaulizwa maswali ya kusoma au kuoandika maneno ya kiswahili..Cha ajabu wanafunzi kibao walikuwa hawajui kusoma Wala kuandika na walikuwa wamefauru..Mzazi...
Mimi mke wangu tunazurura chumbani uchiuchi na kama watoto hawapo tunafunga mlango wa sebureni ni uchi tu Hadi sebureni, jikoni....sometimes utsmkuta anapika jikoni na kichupi....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.