Recent content by yahoocom

  1. yahoocom

    Msaada; Kurudisha Whatsapp image

    Msaada namna naweza rudisha image nilotumiwa na mtu bahat mbaya kwake kafuta. Nikijaribu kuidownload inakataa na kusema hivyo kwenye screenshot
  2. yahoocom

    Bei ya shampeni

    Naomba kuuliza jamani shampeni kwa bei rejareja sh ngapi kwa Dar?
  3. yahoocom

    Sakata la Ugomvi baina ya RC Gambo na Mkurugenzi wa Jiji Arusha lashika kasi

    Hata yeye alimfanyia hivo hivo Ntibenda Kijiko hapo hapo Arudha wakati akiwa DC na kijiko Rc. Wakati Ntibenda akiwa na shughuli huku yeye aliwaita watendaji wote na kuwaambia yeye ndo rc na waende huko.[emoji3][emoji3][emoji3]hii nchi kwa sasa haifuati utaratibu inategemeana ukaribu wako na mkuu...
  4. yahoocom

    Mikopo

    Hata mm naulizia majina yameshatolewa au bado maana wametoa taarfa kuwa wameshatoa majina
  5. yahoocom

    Kitambulisho cha NHIIF bei ghari sana kwa waliopotolewa, Masikini ataendelea kuenya tu kama hakuna mabadiriko Tshs 20,000.00 sio ya nyonge

    We unaelewa unachajiwa sh ngapi ukipoteza kitambulisho cha taifa au unasema tu! Hata cha taifa ni Tsh 20,000.
  6. yahoocom

    Mapazia ya kushona

    Nahitaj kupata mtu anaeshona mapazia ya kisasa na anapatikana maeneo gani Dar?? Kwa wanaofaham naomba wanijulishe.
  7. yahoocom

    Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

    Jaman mnayaona hayo mengine yanapasha! Leo yatatuua
  8. yahoocom

    Kila la heri timu ya Taifa, Taifa Stars

    Manula Mungu atakulipa!
  9. yahoocom

    Bungeni: Spika Ndugai amsimamisha Stephen Masele uwakilishi wa Bunge la Afrika. Bunge limeteua mkaguzi kumkagua CAG

    Ķumbe hii nchi tunavijana imara, sasa Mhe. waachie na huo ubunge wa shinyanga tafadhar ujiunge na ACT padam padamwagika!!!
  10. yahoocom

    Bungeni: Spika Ndugai amsimamisha Stephen Masele uwakilishi wa Bunge la Afrika. Bunge limeteua mkaguzi kumkagua CAG

    Inasemekana kuna kiongozi huko kaharibu na masele ndo kalibebea bango. Je inaweza kuwa anachezewa mizengwe!
  11. yahoocom

    ANAYEMUELEWA SPIKA ANISAIDIE

    CAG anaweza undiwa zengwe na kwa nini achukiwe kiasi hiki. CAG Mungu yu pamoja na wewe! Taarfa za ukaguzi wa ofisi ya CAG zawasilishwa kwa spika, asema na yeye ni mkaguliwa na kuna mambo kayaona!![emoji23][emoji23][emoji23]
  12. yahoocom

    IMF Report on Tanzania: Hiki ndicho ambacho watanzania hawakupaswa kujua

    Katika miongo kadhaa Tanzania imeshuhudia ukuaji wa uchumi lkn hatua za hivi karibuni zimeufanya uchumi kusinyaa na mbele hali ni mbaya.... #IMF
  13. yahoocom

    Lijue bati la msouth kisha linunue kwa bei ya kiwanda

    Mkuu tutakaribia soon
Back
Top Bottom