Recent content by YAHERI MUNGU

  1. Y

    Thadei Ole Mushi: Hili la mimba mashuleni tulijitakia wenyewe

    Kwa hiyo, mnataka muwe mnawapa mimba watoto wa kike ambao wako shule na kutaka waendelee kusoma kwa kisingizio cha mikataba ya kimataifa?? Hao World Bank si ndiyo wenye fedha nyingi! Ni kwa nini wasiwajengee shule maalumu watoto wa kike mnaowapa mimba ili wakaendelee na masomo huku wakiwa na...
  2. Y

    CNN: Tanzania loses $300m World Bank loan amid crackdown concerns

    Kwa hiyo, wewe unaona kuwa ni sahihi mtoto wa kike apewe mimba tu kisha chips na akishapata minda aendelee na masomo na serikali nayo iendelee kupoteza hela kwa uzembe na starehe za huyo binti? Hizo pesa za hao wazungu kama wanawaonea huruma mabinti wanaopata mimba, kwa nini wasizitumie...
  3. Y

    Flyover ya Tazara na ndege zinanisaidia nini mimi wa kijijini?

    Safi sana, jibu na swali zuri sana kwa huyo mlalamikaji.
  4. Y

    R.I.P Rev Christopher Mtikila, Jebra Kambole ametukumbusha kitu

    Ni kweli kabisa. Kesho kutwa kuna uchaguzi mdogo wa jimbo la Buyungu, nimewasikia akina ACT na wengine wakijinadi kuwa wataibuka na ushindi wa kishindo kwenye jimbo hilo na kata kadhaa. Hawahawa juzi ndiyo walikuwa wanalalamika kuwa tume ya uchaguzi haiko huru na kwamba sheria ya uchaguzi ni...
  5. Y

    R.I.P Rev Christopher Mtikila, Jebra Kambole ametukumbusha kitu

    Nakupongeza sana mkuu kwa hoja yako hii. Siku zote uwa ninawaeleza watu kuwa hapa nchini hatuna cha wanaharakati wala wapinzani. Katika nchi nyingi zenye kufuata utawala wa kisheria, mahakama uwa ndicho chombo pekee kinachotengua na kutoa tafsiri ya vifungu vya sheria ambavyo vina mkanganyiko...
  6. Y

    Hili la wanajeshi kutumia ilani ya chama imekaaje?

    Yah, ni lazima waitumie ilani ya chama kwa kuwa kwenye ilani ya ccm kuna kipengele cha kulinda amani na usalama wa taifa na wenye jukumu la kufanya hivyo ni maafisa wa vyombo vya ulinzi. kwa hiyo, wako sahihi kutumia ilani ya chama.
  7. Y

    Ufukuapo makaburi, kumbuka wenzio walikusitiri...

    Mimi wala silalamiki hata kidogo! Nilipanga msururu kumpigia kura kwa roho safi na kumpigia kampeini. Hivyo mimi ninampenda na kufurahishwa sana na kazi zinazofanywa na Rais wangu Magufuli na mwaka 2020 nitampigia kampeini na kumchagua tena aiongoze nchi hii kwa mafanikio. Nyinyi ni matatizo...
  8. Y

    Wapinzani, Si kila anayekosana na Magufuli ni mtu mwema au wa kutetewa

    Tatizo kubwa sana kwa upinzani hasa kwa sasa Chadema wamekosa mtu mahiri wa kupanga mikakati dhabiti ya kuwaonyesha kuwa wako na nia na hoja za dhati za kupambana na serikali. Mfano mzuri ni wa kijana mdogo wa kule South Africa, JULIUS MALEMA, yeye na wenzake walitumia mbinu za kisheria na bunge...
  9. Y

    Ufukuapo makaburi, kumbuka wenzio walikusitiri...

    Kama mlishindwa kumpigia kura nyingi na za kutosha mgombea wenu ili awe Rais, sasa mtawezaje kumtoa huyu madarakani kwa vijimaneno, matusi na kejeri kwenye mitandao? Mnapoteza muda wenu tu!! Subirini mwaka 2025 ndiyo muweze kumleta wa kwenu.
  10. Y

    Ufukuapo makaburi, kumbuka wenzio walikusitiri...

    Kwa hiyo wewe ulitaka awaache wale fedha za walipa kodi? Kama alikosea, ni kwa nini JK hakumchukulia hatua? Ni kiasi gani cha fedha ambacho unakijua kuwa alikila halafu JK akamuacha tu? Msiwe mnaropoka mambo ambayo hata kuyatolea maelezo hamuwezi!!!!!
  11. Y

    Godbless Lema: Kazi ya Polisi ni kazi ya heshima ni kazi ya kujitolea kwa wengine, sura hii imepotea na kuna chuki

    Ni jukumu lako wewe mwenyewe kujitathimini namna gani uishi humu nchini. Kama utaamua kuishi kama raia mwema kwa kufuata utaratibu na kuheshimu mamlaka iliyopo au kuamua kutunishiana misuli na mamlaka iliyopo, hilo ni jukumu lako. Sasa, kabla haujaanza kuwalaumu watu kuwa wanakuonea, kwanza wewe...
  12. Y

    Godbless Lema: Kazi ya Polisi ni kazi ya heshima ni kazi ya kujitolea kwa wengine, sura hii imepotea na kuna chuki

    Hiyo ndiyo kazi ya polisi ya kulinda usalama wa raia na mali zao. Sasa ikitokea kuna watu wachache ambao hawafuati utaratibu wa nchi na wanataka kuhatarisha amani ya nchi, jeshi la polisi halitaweza kuwafumbia macho na kufanya watakacho. Polisi wanalipwa mishahara kutokana na kodi zetu, hivyo ni...
  13. Y

    Natamani kumuona Mange Kimambi akianzisha chama chake cha upinzani na agombee urais

    Hicho chama akikianzisha, shughuli zake unadhani ataziendeshea wapi? maana yeye kurudi hapa nchini ni kama ameshaharibu. Na ni kitu ambacho akitawezekana hata siku moja. Atabaki kuwadanganyeni tu nyinyi.
  14. Y

    Kushindikana kwa maandamano ya Mange kumeacha maswali gani?

    Sasa wewe si ungeonyesha ukomavu kwa huyo mama!! Unalaumu wakati hata wewe hujamuunga mkono. Kama kweli ulihitaji kuwa mtiifu kwa mange, ungeandamana wewe. Suala la maandamano mlisahau kabisa, kama UKUTA ulishindikana, msitegee jambo lingine. Mnavyozidi kuitishia serikali, ndivyo mnavyozidi...
Back
Top Bottom