Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Hiyo ndiyo kazi ya polisi ya kulinda usalama wa raia na mali zao. Sasa ikitokea kuna watu wachache ambao hawafuati utaratibu wa nchi na wanataka kuhatarisha amani ya nchi, jeshi la polisi halitaweza kuwafumbia macho na kufanya watakacho. Polisi wanalipwa mishahara kutokana na kodi zetu, hivyo ni jukumu lao kutulinda sisi raia ambao hatupendi kufanyiwa vurugu. Jeshi la polisi hampaswi kulilaumu kwa kuwa linatekeleza wajibu wake.
amemtaja raisKosa afanye polisi lawama kwa Rais so mnataka afukuze jeshi lote ndipo muone ametenda haki? Mfano polisi aliyefanya unyama jana Tarime yupo chini ya vyombo vya dola na atapelekwa mahakamani kukutana na mkono wa sheria. Je mlitaki afanywaje ili muone haki imetendeka? Mnahamasisha misingi ya sheria na sheria zenyewe ndio zinataka hivyo mtu apelekwe mahakamani akapate haki ya kujitetea.
kwahiyo iliyobaki nikuuwa na kisuHiyo ndiyo kazi ya polisi ya kulinda usalama wa raia na mali zao. Sasa ikitokea kuna watu wachache ambao hawafuati utaratibu wa nchi na wanataka kuhatarisha amani ya nchi, jeshi la polisi halitaweza kuwafumbia macho na kufanya watakacho. Polisi wanalipwa mishahara kutokana na kodi zetu, hivyo ni jukumu lao kutulinda sisi raia ambao hatupendi kufanyiwa vurugu. Jeshi la polisi hampaswi kulilaumu kwa kuwa linatekeleza wajibu wake.
sanaYanayotusibu na yajayo yanasikitisha
Rais anapaswa kukemea kwa nguvu na kuhakikisha wahusika wanachukuliwa hatua. Hapa nimeongea kama idealist!Kosa afanye polisi lawama kwa Rais so mnataka afukuze jeshi lote ndipo muone ametenda haki? Mfano polisi aliyefanya unyama jana Tarime yupo chini ya vyombo vya dola na atapelekwa mahakamani kukutana na mkono wa sheria. Je mlitaki afanywaje ili muone haki imetendeka? Mnahamasisha misingi ya sheria na sheria zenyewe ndio zinataka hivyo mtu apelekwe mahakamani akapate haki ya kujitetea.
Siku ambayo nchi hii itakombolewa ndio siku ambayo Jeshi la polisi litafutiliwa mbali , Hata mwl Nyerere hakubaki na polisi wa kikoloni baada ya ule uhuru wa bendera mwaka 61
Ni jukumu lako wewe mwenyewe kujitathimini namna gani uishi humu nchini. Kama utaamua kuishi kama raia mwema kwa kufuata utaratibu na kuheshimu mamlaka iliyopo au kuamua kutunishiana misuli na mamlaka iliyopo, hilo ni jukumu lako. Sasa, kabla haujaanza kuwalaumu watu kuwa wanakuonea, kwanza wewe jiangalie ni wapi umekosea hadi unachukuliwa hatua za kisheria? Msipende kuwa walalamikaji tu bila kutafuta njia sahihi ya kutatua matatizo yenu. Mkikaa kulalamika tu, hadi jamii itawachoka!kwahiyo iliyobaki nikuuwa na kisu
Kila kitu Rais. ...Rais. ...Rais.....mnalalamika kama mademu!acheni hizo....mwishowe utajikojolea utamtaja Rais....mchepuko ukikupiga chini....Rais.....Rais anapaswa kukemea kwa nguvu na kuhakikisha wahusika wanachukuliwa hatua. Hapa nimeongea kama idealist!
Kosa afanye polisi lawama kwa Rais so mnataka afukuze jeshi lote ndipo muone ametenda haki? Mfano polisi aliyefanya unyama jana Tarime yupo chini ya vyombo vya dola na atapelekwa mahakamani kukutana na mkono wa sheria. Je mlitaki afanywaje ili muone haki imetendeka? Mnahamasisha misingi ya sheria na sheria zenyewe ndio zinataka hivyo mtu apelekwe mahakamani akapate haki ya kujitetea.
Kosa afanye polisi lawama kwa Rais so mnataka afukuze jeshi lote ndipo muone ametenda haki? Mfano polisi aliyefanya unyama jana Tarime yupo chini ya vyombo vya dola na atapelekwa mahakamani kukutana na mkono wa sheria. Je mlitaki afanywaje ili muone haki imetendeka? Mnahamasisha misingi ya sheria na sheria zenyewe ndio zinataka hivyo mtu apelekwe mahakamani akapate haki ya kujitetea.
Rais mwenyewe ndiyo anajifanya yeye ni kila kitu.Kila kitu Rais. ...Rais. ...Rais.....mnalalamika kama mademu!acheni hizo....mwishowe utajikojolea utamtaja Rais....mchepuko ukikupiga chini....Rais.....
sasa sema kosa lakuchomwa kisu la huyo mdogowake heche ni nini maana naona mnataka kutunga kama kawaida yenuNi jukumu lako wewe mwenyewe kujitathimini namna gani uishi humu nchini. Kama utaamua kuishi kama raia mwema kwa kufuata utaratibu na kuheshimu mamlaka iliyopo au kuamua kutunishiana misuli na mamlaka iliyopo, hilo ni jukumu lako. Sasa, kabla haujaanza kuwalaumu watu kuwa wanakuonea, kwanza wewe jiangalie ni wapi umekosea hadi unachukuliwa hatua za kisheria? Msipende kuwa walalamikaji tu bila kutafuta njia sahihi ya kutatua matatizo yenu. Mkikaa kulalamika tu, hadi jamii itawachoka!
Anzeni kufanya ukarabati wa ofisi zenu nyie. Sio kukaa kulia lia kila siku oh nchi hii itakombolewa. Ikombolewe mara ngapi? Shetani ilaani chadema.Siku ambayo nchi hii itakombolewa ndio siku ambayo Jeshi la polisi litafutiliwa mbali , Hata mwl Nyerere hakubaki na polisi wa kikoloni baada ya ule uhuru wa bendera mwaka 61
Huyo Heche si ndio anajifanyaga fita ni fita muraa. Matokeo yake ndio hayo sasa analia lia nini?sasa sema kosa lakuchomwa kisu la huyo mdogowake heche ni nini maana naona mnataka kutunga kama kawaida yenu
Kosa afanye polisi lawama kwa Rais so mnataka afukuze jeshi lote ndipo muone ametenda haki? Mfano polisi aliyefanya unyama jana Tarime yupo chini ya vyombo vya dola na atapelekwa mahakamani kukutana na mkono wa sheria. Je mlitaki afanywaje ili muone haki imetendeka? Mnahamasisha misingi ya sheria na sheria zenyewe ndio zinataka hivyo mtu apelekwe mahakamani akapate haki ya kujitetea.
Ni jukumu lako wewe mwenyewe kujitathimini namna gani uishi humu nchini. Kama utaamua kuishi kama raia mwema kwa kufuata utaratibu na kuheshimu mamlaka iliyopo au kuamua kutunishiana misuli na mamlaka iliyopo, hilo ni jukumu lako. Sasa, kabla haujaanza kuwalaumu watu kuwa wanakuonea, kwanza wewe jiangalie ni wapi umekosea hadi unachukuliwa hatua za kisheria? Msipende kuwa walalamikaji tu bila kutafuta njia sahihi ya kutatua matatizo yenu. Mkikaa kulalamika tu, hadi jamii itawachoka!