Recent content by yabolingo

  1. yabolingo

    JamiiForums Tanzania Bundi wawa lulu Afrika Kusini

    Bora hii mkuu., mi nlikutana na hyo ya nyani kula vifaranga vya kuku,humu humu Jf...yaan imeniacha njia panda hadi Leo.
  2. yabolingo

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Kwenu wap mkuu..?
  3. yabolingo

    JamiiForums Tanzania Pimajoto haiwezi kueneza magonjwa ya ngozi?

    Kifaa cha kupimia joto la mwili wa binadamu kijulikanacho kama "thermometer", hakiwezi kua kienezi cha baadhi ya magonjwa ya binadamu?..mf: magonjwa ya ngozi na mengineyo kama hayo, kwa sababu nimechunguza kwenye vituo vingi vya afya, na nmegundua kua kikiwekwa kweny kwapa la mgonjwa na kumaliza...
  4. yabolingo

    JamiiForums Tanzania Kwa anaefahamu dawa ya kufukuza Nyani

    Duuuh!! Akhsante sana mkuu kwakunijuza.
  5. yabolingo

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujutia shahada uliyosomea? Njoo tushauriane!

    Mkuu umetisha!!!!!
  6. yabolingo

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba nzima ya kupanga Sumbawanga maeneo ya Mkoani, kristu mfalme

    Ngoja wenyeji waje, utapata tu mkuu
  7. yabolingo

    JamiiForums Tanzania Idadi ya fimbo anazotakiwa kuchapwa mwanafunzi

    Mkuu, unafundisha shule gan vile?
  8. yabolingo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti yako akipata ujauzito nyumbani utafanyaje?

    Non sense... kalale.
  9. yabolingo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti yako akipata ujauzito nyumbani utafanyaje?

    Soma vizur ulichokiandika, alafu upime kati yako na Yang nan mzembe??..
  10. yabolingo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti yako akipata ujauzito nyumbani utafanyaje?

    Kamwe hutoweza kujifunza usipokubali makosa..Leo kafanya hvyo hapa, kesho ataandika application letter kwa mtindo huu., je hajakosa kazi hapo??..ww ndio uache ligi zisizo na maana...fikiri kabla ya kutenda mkuu.
  11. yabolingo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti yako akipata ujauzito nyumbani utafanyaje?

    Mkuu habar? Hebu iandike thread yako kwa kuzingatia kanuni na taratibu za uandishi..nnamaanisha, weka vituo kweny sentence zako.
  12. yabolingo

    JamiiForums Tanzania Idadi ya fimbo anazotakiwa kuchapwa mwanafunzi

    Akhsante mwalimu kwa ushaur
  13. yabolingo

    JamiiForums Tanzania Idadi ya fimbo anazotakiwa kuchapwa mwanafunzi

    Usikurupuke mkuu kama panya aliyekutana na paka uvunguni?..swali umelielewa kwanza?
  14. yabolingo

    JamiiForums Tanzania Idadi ya fimbo anazotakiwa kuchapwa mwanafunzi

    Akhsante kwa kunijuza mkuu..laiti ungelijua jazba niliyonayo hapa kuhusu huyo mwalimu, nadhan ungenihurumia..ndio maana nimeona kabla sijafanya uwamuz wwte, nianzie hapa kwanza jamvini, walau nikifika mbele zaidi nijue ntamkabili vipi.
Back
Top Bottom