Recent content by Yabhuda

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

    Anywe sumu afe,asitutafutie dhambi
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa India wawatahadharisha raia wake dhidi ya ajira za MeTL

    Expats si ndio ?. Ha ha ha ha haaaaa. Yaani mtu akae jobless India wakati kuna pa kuponea kwa Mo. Advisory imefeli. Wakigomea hizo kazi mje mnijulishe.
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Majaji 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji 15 wa Mahakama Kuu. Ateua DC wa Mwanga na Tarime

    Sina hakika kama anateua wawakilisho wa dini. Nachoamini anateua watanzania bila kujali dini zao.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu kanisa la Afrikan Inland church

    Huna taarifa sahihi. Kila mahali lipo mpaka youtube lipo
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu kanisa la Afrikan Inland church

    Kanisa la Mungu hili. Wamosionari walianzia Kenya wakaenea kupiyia mwambao wa ziwa victoria na si kweli kama ni kanisa la kina ngosha kama inavyopotoshwa. Mtu yeyote anakatibishwa kupokea neema
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu kanisa la Afrikan Inland church

    Songea kanisa lipo. Lipo Msamala kabla ya kujengwa tulikua tunasali CCM. Na mvhungaji anaitwa Lameck Kazinza. Ukitaka mawasiliano sema nikupatie.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Krismas na udhalimu.

    Lakini wakati ukifika..... NITAICHOMA DUNIA YOTE. Jana ilikua siku takatifu ya muhimu sana kwa wakristo wote Duniani. Tulikua tunaadhimisha kuzaliwa kwa bwana wetu YESU KRISTO. Masia wetu. Ilikua Krismas. Ukitaja krismas hakuna asieijua siku hii. Nakumbuka kijijini kwetu Shilabela ni siku...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mnaota tu hapa.Arsenal otajifia!
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Shule bora za Serikali, enzi hizo

    Hata mimi namkumbuka Mbanga pale shybush.Na mzee mmoja anaitwa Mungo kule Tarime!
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Shule bora za Serikali, enzi hizo

    Kitu Mbanga hata mie namkumbuka Shybush.Na tarime alikuwepo mzee Mungo.Vilaza hoyeeeeee!
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye ni kiza kizito, Mnajimu atoa mwanga

    Gwajima alimwambia Yahaya atakufa mwenyewe baada ya kutabiri kua atakaegombea na kikwete angekufa!
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye ni kiza kizito, Mnajimu atoa mwanga

    Huyo shetani wa kuyuchagulia rais ashindwe kwa Jina La Yesu Kristo!
Back
Top Bottom