Recent content by xy-gene

  1. xy-gene

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung Galaxy Note 2 Price 150k Internal Storage 16GB RAM 2GB Used (3 Months) Kama umeielewa, nicheki tufanye biashara.
  2. xy-gene

    Je, wajua bundles zinazotolewa na TTCL? Jionee mwenyewe

    [emoji38][emoji38][emoji38] Voda nimewakimbia juzi kati hivi. Nimeona bora nirudi Tigo tu!
  3. xy-gene

    Je, wajua bundles zinazotolewa na TTCL? Jionee mwenyewe

    Vocha zake sasa kupata ndio kisanga. Mpaka utumiwe kwa Max Malipo..
  4. xy-gene

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Uzi wa Arsenal bado haujaachiwa?
  5. xy-gene

    Ramadhani 2019 inaanza lini?

    Mimi ndo mpaka sasa cjajua nikae upande upi. Ndo mana nkaja na uzi huu nipate/tupate solution.
  6. xy-gene

    Ramadhani 2019 inaanza lini?

    Sawa kabisa, kwa mujibu wa Mufti wa Dar es Salaam pamoja na Zanzibar, ramadhan itakua j4 biidhnillah.
  7. xy-gene

    Ramadhani 2019 inaanza lini?

    Kabisa kiongozi, Shukran!
  8. xy-gene

    Ramadhani 2019 inaanza lini?

    Wakuu tuekane sawa, kila mmoja anaongea lake..
  9. xy-gene

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    La Pulga De La Mesié
  10. xy-gene

    'Wasanii' wafuatao waache kuimba wakafanye kazi zingine

    Kuna na yule Official lynn cjui.. Aende akakune nazi!!
  11. xy-gene

    Messi Vs Van Dijk nani atampoteza mwenzake?

    Messi kawaweza wote, sio VVD peke yake
  12. xy-gene

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mzigo bado upo, njoo PM tudiscuss biashara
  13. xy-gene

    Je, unaweza pata mchubuko bila kondomu kupasuka?

    Unaanzaje kuchubuka sasa wakati Condom haijachanika?
Back
Top Bottom