Ramadhani 2019 inaanza lini?

Ramadhani 2019 inaanza lini?

Aamen mkuu....Mwenyezi mungu atupe afya njema na atupokelee funga zetu inshaallah
Ameen.. yaaRabi..Wallah jamani Dunia inakuwa taamu kea watu aina zako!! Maana unaipa ulimwengu haki zake.. Atujaalie wepesi na Rizqi yenye Wasaa!!
 
Ahi yaa Muslim.. pole pole...tuwe wavumilivu (Mimi na wewe na wenzetu) Allah kajaalia Mwezi siku 30/29 tutaungana mbele huko kuukamilsha... Ramadhan Ina (mafungu 3 kumi la Rehma , kumi la maghifrra na kumi la it min alNarr epuko la Moto)
Tafadhali tusifarikiane !!
Allah ataqabalie Saumu zenu
Aamin
 
sisi tunaofuata mwezi unaoandama nchi yoyote ambayo hatupishani hata linusu saa tunafunga kesho inshaallah.kwa wale wanaosubir kufunga hadi uonekane tz watafunga j4 na mufti wao
 
Faidi,furahia,JiBariki na jifungie Saumu Lillah imanan wa ihtisaban Lillahi-ta3ala..
Fursa hi adhim kea aliye bahatika..
Wangapi walitamani waliingojea kwa hamu na matumaini...ila Mwenyeezzi Mungu hakuwafikia..
Rehma ziwateremkee popote walipo.;; Ameen

Mhhhh,,!!!
Mkuu haya maneno ni mazito saana na yamenigusa saana
JazaaQallah kheyr
 
ramadhani ya bakwata ni jumanne ramadhani ya waumini wa tanzania jumatatu rwanda kesho jumatatu kenya jumatatu uganda ni jumatatu ila hawa bakwata tu
 
huyu ni mufti wa nchi ya kenya katangaza kesho wanafunga.sisi tz hadi auone shekhe zuberi na bakwata yao
 

Attachments

  • VID-20190505-WA0000.mp4
    3.6 MB
Ramadhan Kareem
 
"Leo 05 Mei 2019,kwa makubaliano ya ofisi ya Mufti Zanzibar na Tanzania Bara kwa jitihada za pamoja na kudra za Mwenyezimungu,mwezi haukuandama..Kesho tutatimiza hesabu ya 30 na kwa amri ya Allah Jumanne tutaanza kufunga"~Kadhi Mkuu Tanzania Bara,Sheikh Mnyasi.
3ca5406873ce863d8e5e3f8a06b8ee45.jpeg
 
Wakuu tuekane sawa, kila mmoja anaongea lake..
"Leo 05 Mei 2019,kwa makubaliano ya ofisi ya Mufti Zanzibar na Tanzania Bara kwa jitihada za pamoja na kudra za Mwenyezimungu,mwezi haukuandama..Kesho tutatimiza hesabu ya 30 na kwa amri ya Allah Jumanne tutaanza kufunga"~Kadhi Mkuu Tanzania Bara,Sheikh Mnyasi.
 
Hii Taarifa ni Kutoka Bakwata au Sunni??

Maana sisi Mujahideen hatufungamani na upande wowote
 
Back
Top Bottom