Mbunge wangu Mh.Chambo (ashk majinun) umeonesha upeo mdogo wa uelewa wa hili sakata la Escrow..
hukujua unachoongea
hukua hata na data
ulikuwa kichama zaidi kuliko kitaifa
Kwa hayo machache wewe ni Kopo tupu
Ni aibu kubwa sana kwa serikali kukumbatia mafisadi wezi ambao wameshathibitishwa na vyombo husika vya serikali yenyewe na ikiwemo kamati ya bunge PAC..kuna kitu hapa Asante sana wapinzani na wote wanaafiki mapendekezo ya PAC kwa kutotetea uovu
Box 64, Kyaka. 21494, Dar Es Salaam
hizi ni adresi mbili tofauti mkuu yaan unaweza kumpata kwa anuani ya Kyaka au Dar..
Kwenye suala la kutoa hoja hana tofauti na Hawa fujo na Mh Chambo (ashk majinuni)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.