Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,831
- 126,838
marhabaa! Hujambo kipenz changu?
Sijambo....naomba ela
marhabaa! Hujambo kipenz changu?
Sijambo....naomba ela
Sijambo....naomba ela
Eti juzi asubuhi ghafla nilikuta sms ikisema wewe naomba leo tuachane naomba sana usiniulize kwanini nimemchunguza kumbe alipoenda safarini kakutana na mtu mwingine inaniuma sana na sijui la kufanya nimelala mawazo tu naombeni msaada nimtafute au nimpoteze japo naumia sana.
Hata wewe unazo kama za mpenz wangu Mgirik?
huyo anahela za madafu mbona.... kwani hujaona jina langu kwenye escrow, au hujui mi ni rugemarila jr
Uwiii we hufai maana soon utafilisiwa na utaanza kuishi kama digidigi
Siku nyingine uwe na burudani mbali mbali.........ukichoka burudani hii.......unafanya hii..........nadhani umenielewa.........
sikufundishi ubandidu lakini.........
usijali bibie! Kama shida ni hela ww usiwaze kabisa sisi ndio wazee wa mji....
Mitumie ac namba yako nikuingizie