Yaani mtu kafanya kosa na kukimbia, anarudi kuomba msamaha kwa vitisho still umefumbwa macho na masikio huna??? Kwani mtoto nini bhana...! Hafai hata kwa mchuzi huyo, sema keshaona wewe bwe.ge tu..!!
niliishi na mwanamke tukapata mtoto mmoja ikatokea cku moja nipo kazini kasomba vitu vyote katoroka siku hizi anabembeleza eti nimsamehe shoga yake ndo alimwambia atoroke karudi na mwanangu kwangu nikimfukuza ataondoka na mtoto anadai sitakuja kumpata huyo mtoto tena .kwa upande wa sheria bado anaharali ya kubaki na mtoto yaani mtt yk chini ya miaka saba naombeni ushauri nimtimue mtoto atakuja baadaye kunitafuta au nimsikilizie wakati namlea mtoto wangu? ushauri tafadha
Eti love is blind