Recent content by xplastaz

  1. xplastaz

    Kwa mazoezi ya Mandata niliyoyaona Oysterbay nashauri Kesho timizeni haki yenu muondoke

    Ndo maana wakawa police na wew ni raia wa kawaida. Hawez kuwa askari kamil bila silaha.
  2. xplastaz

    Nyimbo za Abbydad....naomba list

    Somo-kassim mganga
  3. xplastaz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    sijui kwanin sikustake parefu inplay
  4. xplastaz

    Vimbwanga vya Night Shift at Ticts

    Ule muunganiko ni zaidi ya lock haiwezi kuachia ata kwa bahati mbaya. Umewahi kuona semi imeanguka na horse ikachomoka ikaacha trailer yake!????? Hapana
  5. xplastaz

    Nataka kubeti

    Bet for fun and bet what you can afford to loose
  6. xplastaz

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Naona mnaikumbuka misosi mliyowahi kusaza[emoji107] [emoji107] [emoji107]
  7. xplastaz

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bado tu mnaiota hiyo chance pekee[emoji23] [emoji23]
  8. xplastaz

    Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    [emoji102] [emoji58] [emoji42] [emoji42] [emoji42] [emoji42]
  9. xplastaz

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwema humu ndani Mashabiki wa Mwanitesa United!?
  10. xplastaz

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mambo ni hiviiii
  11. xplastaz

    Naomba kuelimishwa kuhusu masuala ya salute kati ya Jeshi na Polisi

    Kasema police wao lazima kla mtu apige saluti..kitu ambacho sio kwel that's why nkasema aache uongo. Wew ambacho unaona nachemka ni kipi Bob
  12. xplastaz

    Naomba kuelimishwa kuhusu masuala ya salute kati ya Jeshi na Polisi

    Hiyo post ya mdau umeisoma mwisho alivyo malizia!???
  13. xplastaz

    Naomba kuelimishwa kuhusu masuala ya salute kati ya Jeshi na Polisi

    Sasa mimi nlisema nin na wew unasema nin, nlimbishia aliyetoa hiyo nkisema aache uongo.. wew ukadakia na kusema sielew chochot na ukaniita muuza sokoni ingawa sio mbaya kuw muuza sokoni! Sasa wew unasema nin
  14. xplastaz

    Naomba kuelimishwa kuhusu masuala ya salute kati ya Jeshi na Polisi

    Rejea post #24, ikitokea polisi wapo kuanzia wawili na kuendelea..akapita mkubwa kicheo kuanzia nyota moja na kuendelea atakae waweka attention wenzie na kupiga salute ni yule atakaekuwa senior kicheo au kinamba (senior nco au senior constable)na sio kwamba wote mtakao kuwa hapo mtasimama na...
Back
Top Bottom