Recent content by Xolani

  1. Xolani

    JamiiForums Tanzania Maoni: Biashara ya laundry

    Ni Kama hizi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Xolani

    JamiiForums Tanzania Maoni: Biashara ya laundry

    Kama uko interesting nicheck naingiza used Washing machine na dryer kampuni ni Speed Queen zote Ni commercial Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Xolani

    JamiiForums Tanzania Kumbe Serikali inalijua deni la lililosababisha ndege ikamatwe: Lipo hadi kwenye ripoti ya CAG

    Wanasema anaetudai ni mkulima
  4. Xolani

    JamiiForums Tanzania Hizi Tuhuma kwa Waziri Kangi Lugola, zina ukweli?

    Kwa taarifa sasa Yule mama ambae ni RTO Arusha ni shemeji yake alikuwa Manyara sasa amepelekwa uko
  5. Xolani

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba yule kada wa CCM anayehusishwa Kuhamia ACT ni huyu?

    Mwaka ule wa uchaguzi alikuwa bega kwa bega na mzee bumbuli
  6. Xolani

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya LHRC ya kesho kuzidi kukimbiza wawekezaji, mikopo na misaada ya wahisani.

    Yetu macho kwa kweli ukisema neno utaonekana siyo mzalendo
  7. Xolani

    JamiiForums Tanzania IMF Report on Tanzania: Hiki ndicho ambacho watanzania hawakupaswa kujua

    Mficha Uchi hiyo ...........
  8. Xolani

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Wameanza chokochoko watakachokipata hawatajua kimetokea wapi

    Yajayo yanafurahisha Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Xolani

    JamiiForums Tanzania Nassari amwambia Ndugai, ubunge hauondoi ubinadamu au majukumu ya kifamilia, hajutii kufukuzwa ubunge

    Labda wewe ungeweka sababu gani ili ieleweke? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Xolani

    JamiiForums Tanzania Lissu aanza kuchangiwa fedha na wananchi!

    Utasikia watawala wanaifungia hiyo Acc ya crdb soon Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Xolani

    JamiiForums Tanzania RC Makonda aibuka tena na Tezi Dume”Hata ukisafiri Dodoma,tutakufata upimwe

    Ugonjwa ni siri ya mgonjwa sasa yeye anapata wapi mamlaka ya juu kufanya kuwa lazima? Malaria tu kuiondoa nchi wanashindwa wataweza matibabu ya tezi dume kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Xolani

    JamiiForums Tanzania Zitto: Shida sio mabeberu shida ni watawala kwa miaka 2 tumepoteza $250m za mbaazi na $500m za korosho, tumenunua ndege imelala

    Hapo sasa imegeukia siasa badala ya uhalisia Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Xolani

    JamiiForums Tanzania Serikali yawataka wakulima wa korosho kurudisha fedha, korosho zao hazina ubora

    Sasa waende na matarumbeta kupokea mrejesho wao wa korosho Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Xolani

    JamiiForums Tanzania Kamanda Shana: Wapinzani si watu wa vurugu, ni watu wazuri

    Siti ya mbele kabisa, Kwani hawafahamu Kama wapinzani ni watu wazuri sema wao hawataki kukosolewa Miungu Watu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom