Serikali yawataka wakulima wa korosho kurudisha fedha, korosho zao hazina ubora

Wakulina akili itawakaa sawa, heri wafanyabiashara na kangomba walikua hawapangi hayo madaraka.
 
Ina maana walinunua bila ya kuhakikisha ubora?

Sasa Kwanini walishinikiza Wafanyabiashara binafsi wanunue korosho zote kwa bei Moja Elekezi wakati Korosho wametambua zina Madaraka?

Tatizo la Wanasiasa wetu wanaamini wao wana weledi wa Biashara, Uvuvi , kilimo, uimbaji, uchezaji Mpira , U DJ , n.k

Eneo pekee wanaloheshimu taaluma Ni Uchawi ndio sababu wachawi hawabughudhiwi
 
Mkuu hiyo ni janja nyani, kwa masikio yangu nilimsikia jiwe (siku ile anakataa kampuni toka kwa waziri mkuu) akisema korosho za tz ni daraja la kwanza tupu leo mambo ya daraja la 2 yametoka wap?

huyu bwana atatugharimu sana kwa kufanya mambo kwa kutaka sifa ili hali hafahamu mambo mengi
 
Warudishe hela za watu bwana waache kulialia! Huko kusini si ndiko wabunge na madiwani walienda kuunga juhudi za kichaa? Korosho zenyewe kumbe tani 50 tu? Hela irudi vinginevyo mtapata taabu sanaaaaa!
 
Mkuu itakuwa unashida sana na mitiii....yani sio kwa kuwashwa kiasi hichii..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana walinunua bila ya kuhakikisha ubora?

Sasa Kwanini walishinikiza Wafanyabiashara binafsi wanunue korosho zote kwa bei Moja Elekezi wakati Korosho wametambua zina Madaraka?

Tatizo la Wanasiasa wetu wanaamini wao wana weledi wa Biashara, Uvuvi , kilimo, uimbaji, uchezaji Mpira , U DJ , n.k

Eneo pekee wanaloheshimu taaluma Ni Uchawi ndio sababu wachawi hawabughudhiwi
Mamanyoko,, haya maswali mkaulizane huko huko Lumumba! Eti wanasiasa, umeshindwa nini kusema "jiwe?" CCM huwa mnatuchezesha sana utafikri na sisi ni vichaa kama mkiti wenu!
 
Na wao warudishe maandamano yao jmn ya kupongeza

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom