Umesema sio nchi ya kusaidiwa kwa vigezo gani? Nchi imeweza kulisha wanafunzi mashuleni? Maana msaada ulikua kwaajili ya kupeleka mchele mashuleni. Sasa sisi serikali inalisha shule za kata?
Eti Mabeberu,? ushabiki wa kishabiki wa kujionyesha kama unaelewa unayoyaongea. Mbona walipoleta mradi...
Tatizo kubwa ni Elimu Tu.
Na ulimbukeni, eti hatuhitaji huo msaada, yaani watanzania tunahitaji kuelimishwa maana ata ukisoma michango ya watu kweli inasikitisha.
kabla ya kujibu emm tembelea shule za kata za msingi. jaribu kuuliza kuhusu chakula uone majibu utakayopewa. Yaani mtoto wa maskini...
Bima iko kwenye hospitali za serikali na za binafsi. Kuna sababu wagonjwa wanakimbilia kwenye hospitali binafsi kuliko za serikali. Kama ambavyo viongozi wanakimbilia kutibiwa nje, saa nyingine anaenda kutibiwa nje kupitia bima ambayo ata apa ndani ya nchi angepata huduma.
Sema ndo ivyo ukweli...
tofauti kubwa mheshimiwa ni kua wewe umelipa cash. hivyo mtu anaweza kuitumia iyo cash kurejesha vifaa tiba na madawa aliokua ameyatumia kukuhudumia wewe na kuyatumia kutoa huduma kwa wagonjwa wengine. Waambia kua unataka hiyo huduma kwa mkopo uone kama watakubali na ata wakikubali uone bei...
Umeongea kama vile muelewa kumbe hamna kitu,
Sasa Apo NMB na CRDB ndo unadhani mkopo kwa kipindi cha miaka 8 utakua tofauti?
Nenda bank nyingine waombe waununue mkopo wako na ubadilishe vigezo uombe kulipa ndani ya miaka miwili au mitatu. Riba itakua ndogo ila makato yatakua makubwa
Mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.