Commission ya biashara ya wakala

xnad

Member
May 22, 2013
24
42
Wakuu na wazoefu wa hii bishara naombeni kupata mawazo yenu kuhusiana na hali ya hii biashara kwa sasa. Nimewekeza mtaji wa karibia 6m lakini kamishen bado nikitoa gharama nabaki na 200k

Nimefanikiwa kupata location nzuri na nimekua nikiifanya hii biashara kwa takriban miaka miwili, naombeni msaada wa kimawazo wa namna ya kuboost commission za mwisho wa mwezi.

Ni biashara gani zingine ambazo mtu anaweza kufanya zinazoendana sambamba na hii biashara?

Asanteni sana
 
1.yupo mfanyakazi au mwenyewe????
2.uza sigara na vocha.
3.uza pipi na biscuit
4. Weka Crdb na nmb wakala
5.tafuta ata uwakala mkuu wa airtel money au tigo pesa.
6. Uza ata alcohol kama iman inaruhusu
7.uza ata vimaji maji na soda.
8. Chajisha simu na bet.
9.uza makava ya simu,,,bet,,,charger,,,headphone
10.soda na vimaji.
*hivyo n vitu vya kuongezea kwenye biashara yako ili kukuza kipato.
 
Hyo ni net profit tuambie gross profit unapata sh ngapi?....ila sio mbaya kwa huo mtaji wako kumbuka malipo yanatokana na mzunguko wa cash in na out katka laini zako.

Kuongeza commission.
1. Ongeza laini/machine za uwakala /uwakala mkuu.
2. Ongeza mtaji wa biashara yako angalau 10ml
3.punguza matumizi ya sio lazima.

Hii 200,k mimi napata kwenye lain yangu moja.
 
Daaah!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza Pole saana, Hiyo biashara ya uwakala ni unyonyaji, Pengine ungewekeza hiyo 6M ungepata faida nusu yake ndani ya mwezi, kwa ushauri achana na hiyo biashara fanya kitu cha maana
Ila yeye ameomba ushauri wa namna gani ataongeza commission kupitia hiyo biashara. Ila sasa wewe mheshimiwa umeenda hatua moja mbele.

Anyway, kwa mtazamo wangu naamini hii biashara inaleta ahueni iwapo utaichanganya na biashara nyingine! Mfano duka la bidhaa mbalimbali la jumla na reja reja, stationery, duka la vifaa vya umeme, duka la simu/vifaa vya simu, nk.
 
MKUU ukweli kama miamala ni ya kutosha na husimamii mwenyewe hii ni moja ya biashara ngumu sana kwako. Maana commission ipo nzuri ila huwezi ipata.
Naweza sema commision yako unagawana na hao wanaokufanyia kazi.
Kama umeajiri mtu fanya ufuatiliaji wa karibu, ukipiga hesabu kila siku ili ujue kama kuna pesa hupotea wakati wa ufanyaji kazi.
Ufuatiliaji utasaidia kujua kama matumiz ni makubwa au lah! Na utaijua mianya ya upotevu.
 
1.yupo mfanyakazi au mwenyewe????
2.uza sigara na vocha.
3.uza pipi na biscuit
4. Weka Crdb na nmb wakala
5.tafuta ata uwakala mkuu wa airtel money au tigo pesa.
6. Uza ata alcohol kama iman inaruhusu
7.uza ata vimaji maji na soda.
8. Chajisha simu na bet.
9.uza makava ya simu,,,bet,,,charger,,,headphone
10.soda na vimaji.
*hivyo n vitu vya kuongezea kwenye biashara yako ili kukuza kipato.
hofu pia ni kufanya biashara ambayo haitawapa upenyo watu kujua mzunguko wangu ili nisijekupigwa tukio.

Uwakala mkuu nawezaje kuupata maana kila nikiuliza nakatishwa tamaa
 
Ila yeye ameomba ushauri wa namna gani ataongeza commission kupitia hiyo biashara. Ila sasa wewe mheshimiwa umeenda hatua moja mbele.

Anyway, kwa mtazamo wangu naamini hii biashara inaleta ahueni iwapo utaichanganya na biashara nyingine! Mfano duka la bidhaa mbalimbali la jumla na reja reja, stationery, duka la vifaa vya umeme, duka la simu/vifaa vya simu, nk.
kwenye kuchanganya kuna hofu ya watu kusoma mzunguko wa pesa na kupanga namna ya kukuibia maana watatumia fursa ya kuja kama wateja wa kawaida
 
Hyo ni net profit tuambie gross profit unapata sh ngapi?....ila sio mbaya kwa huo mtaji wako kumbuka malipo yanatokana na mzunguko wa cash in na out katka laini zako.

Kuongeza commission.
1. Ongeza laini/machine za uwakala /uwakala mkuu.
2. Ongeza mtaji wa biashara yako angalau 10ml
3.punguza matumizi ya sio lazima.

Hii 200,k mimi napata kwenye lain yangu moja.
Mheshimiwa nawezaje kupata Uwakala Mkuu?
 
Hiyo biashara ilikuwa nzuri zamani, siku hizi kamisheni imepunguzwa zaidi ya nusu.
Nakumbuka 2012-2015 nilikuwa nafanya hiyo biashara nikiwa na mtaji wa M3 na nilikuwa napata Minimum 900000 na ilikuwa TIGOPESA na mpesa tu
 
Back
Top Bottom