Recent content by xhankaraaaa

  1. X

    JamiiForums Tanzania Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

    Axante sana,bwa mshana unaweza kunipa fact kuhusu wafu tupilia mbali suala la imani
  2. X

    JamiiForums Tanzania Karibu chatroom: Uliza chochote kuhusu makaburini, mochwari na wafu

    Kwa hali hii tunastahili kutawaliwa mtu na utimamu unajadili habari za wafu,moto unapozimika hurud katika hali ya kutokuwepo vivohivyo mwanadamu akifa hurud katika hali ya kutokuwepo,muwasilisha maada acha kupotosha umma ,tumeruhusu akili ndogo itawale akili kubwa
  3. X

    JamiiForums Tanzania SERIKALI: Tumepata pigo kifo cha Mwanafunzi NIT, tutagharamia msiba na mazishi

    Suala la chadema kurusha mawe ni wajibu wa wananchi?
  4. X

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asikitishwa na kifo cha Mwanafunzi wa NIT, aliyeuawa na Polisi

    jamii forum walijualo ni kulaumu kuchukua hatua hawataki kazi ni ipo siku itafika huo ni ujinga wa akili mahakama zipo nendeni mfungue mashitaka ,semeni mnataka nini?
  5. X

    JamiiForums Tanzania SERIKALI: Tumepata pigo kifo cha Mwanafunzi NIT, tutagharamia msiba na mazishi

    Wengi wenu mmetoa lawama kuonekana mna huzuni sana lakin ni unafiki tu mnatumia mauti ya mwanafunzi kuiponda serikali kwa itakadi ya vyama vyenu hakuna lolote zaidi ya uccm na uchadema humu ndani
  6. X

    JamiiForums Tanzania Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

    ni jambo gumu kulisemea sana ,mungu akumbuke taifa hili
  7. X

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Taifa linaelekea pabaya sana

    Opposition wataoppose everything na kupropose nothing
  8. X

    JamiiForums Tanzania South Africa: President Jacob Zuma agrees to resign his office with immediate effect

    Nakupongeza sana mweshimiwa zuma kwa maamuzi mazuri ya kujiuzulu huo ni ukomavu kifikra na kulitakia taifa amani
  9. X

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 tujitahidi kuchagua kiongozi anayejua Lugha ya kingereza vizuri

    Takwimu aliyowahi toa msigwa kwamba asilimia 40% ya watoto wanaozaliwa wameduwaana wewe umo,unataka kuongozwa kwa kingereza kweli,tunataka mtu mwenye maamuz kama bulldozer yetu magu
  10. X

    JamiiForums Tanzania Mapungufu makubwa ya kuhamisha Walimu kutoka Sekondari kwenda kufundisha Shule za msingi

    Mkuu nashukuru kwa hekima pokea standing ovation yangu
  11. X

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Jf walivyo!...

    Mpaka hpo we una sura mbaya unadhani tutaelewa kinyume wewe ni mbaya
  12. X

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Jf walivyo!...

    Weka sura yako mbaya kama nini mwanamke wewe
  13. X

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume ameniambia ataniua, nashindwa kujua amedhamiria nini kwangu

    Yawezekana kabisa kauli zako ni mbaya hadi zinamfirikisha kukuua haiwezekani mbona kama hamjagombana hasemi
Back
Top Bottom