Recent content by Xerophytic B

  1. X

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba baadae awe mume

    Weka namba tukutafute
  2. X

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa hesabu

    Mwanao ni kidato cha ngapi
  3. X

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu

    Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza hapa dar, ila nina cheti cha diploma ya maabara za viwandani. Nimekwama sina ada ya mwaka wa pili, sikupata mkopo. Msaada wenu hata kama nikisaidiwa nifanye kazi za shift ya usiku
  4. X

    JamiiForums Tanzania Nina shida na mtu anayesoma Molecular Biology

    Yeyote yule wakuu
  5. X

    JamiiForums Tanzania Nina shida na mtu anayesoma Molecular Biology

    Habari wanajamii nina shida na mtu anaesoma molecular biology and biotechnology UDSM, vizur zaid awe mwaka wa kwanza. Kama yupo anitumie text kwenye namba 0768724501. Asanteni wapendwa
  6. X

    JamiiForums Tanzania Mwenye majibu

    Poa mkuu
  7. X

    JamiiForums Tanzania Mwenye majibu

    Yaa niliomba
  8. X

    JamiiForums Tanzania Mwenye majibu

    Mimi ni miongoni mwa wahitimu wa diploma tuliochaguliwa kujiunga na shahada ya kwanza katika fani za kipaumbele. Naomba kuwaulizeni hivi mikopo watu wa diploma haituhusu kwa mwaka huu
  9. X

    JamiiForums Tanzania Hodi wajumbe

    Naimani mtanipokea vyema wajumbe
  10. X

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ndugu zangu

    Nipo Arusha natafuta kazi, Nina Diploma ya Laboratory science and technology. Anaeweza kunisaidia napatikana kupitia 0768 724501
Back
Top Bottom