Recent content by XDR

  1. X

    Rais Magufuli: Majizi yamehamia CHADEMA

    Enzi hizo nikiwa mvulana nikaachana na kabinti fulani amazing kwa shingo upande, kiufupi kaliniacha. Hasira zangu nikaanza kashfa kwamba sio katamu, sijui hakajui kukata kiuno n.k. Ebanaeee, si kakanitangazia kuwa mie kibamia,doh ikawa aibu yangu mwenyewe.
  2. X

    Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

    kanunua simu kampa demu, walipoachana kampokonyaaaaaaa
  3. X

    Polepole: CCM katiba sio muhimu, tunataka kwanza wananchi wawe na chakula mezani washibe ndio muhimu

    Kwa Mtanzania unafiki, uvivu, kuamin kwenye hamna (ushirikina) na udokozi udokozi ndio sifa zetu kuu.
  4. X

    Dotto Bulendu: Kwanini Ikulu tu ndio wapate live coverage, Bunge, Mahakama zinafunikwa?

    Kichwa cha habari sio kipana kulingana na yaliyobebwa katika andiko hili. Kuhusu bunge live na habari zinazofanana na hizo; ina maana mpaka sasa wale wanaoona wamenyimwa air time wamekosa njia/ mbinu mbadala ya kusikika? Kwa nini vyama vya upinzani wasiwe na vyombo vya habari wakaweza...
  5. X

    Ni hatari kwa ustawi wa Nchi yetu kama kuna watu bado wanaendelea na upigaji Ndalichako hebu lianagalie hili

    Masomo kwa ujumla yakoje? Ufundishaji? , uwepo wa wakufunzi?, maabara na maktaba? Kuna migahawa inayouza chakula ukiacha chakula cha shule? Kwenye vikao ni yepi majibu ya uongozi juu ya madai uliyoyatoa? Ruzuku ya chuo ya matumizi mengine ikoje? na nyie mko wangapi? Kwa kuwa utakuwa...
  6. X

    Mwakyembe: Mavazi ya watu wetu siku hizi katika makanisa ni changamoto, ni afadhali misikitini wanavaa kistaarabu

    Nilikuja duniani nikiwa uchi, na wanasema nitarudi kwa baba nikiwa uchi? sasa why nikienda kuongea na baba mnaweka vikwazo? By the way, mchakato wa vazi la taifa umefikia wapi? uko chini ya taasisi, wizara gani?
  7. X

    Miss u my mwanza mwanza

    nilishajaribu hapo, HAMNA ndg. Mwanza mkuu, na wewe?
  8. X

    Polisi FFU Ukonga nimewakosea nini? Nimepigwa mimi,mke wangu na Mama mkwe bila kosa lolote. Nifanyaje kuchukua hatua?

    askari wetu hawawezi kuonea kudhuru watu wetu. nidhamu na weledi wao ni wa hali ya juu. hawezi kufanya hivyo they must be from pahala pengine, au?.
  9. X

    Miss u my mwanza mwanza

    mwanza hamna bandari? hamna ikulu? hamna ofisi mbali mbali za serikali kuu? kwa hiyo na mimi nikuambie kuwa kinachoibeba mwanza over shinyanga,geita n.k ni kwa kuwa vitu vingi vya lake zone/ ofisi za kanda huwekwa hapo?, au kwa vile kuna BOT?
  10. X

    Watoto Lucky Vincent kurejea Marekani kwa ajili ya elimu ya juu

    Elimu ya juu? Au umesikia maneno "high quality education", ukaamua kuja na tafsiri zako?
  11. X

    Polisi FFU Ukonga nimewakosea nini? Nimepigwa mimi,mke wangu na Mama mkwe bila kosa lolote. Nifanyaje kuchukua hatua?

    Hata hivyo FFU waliohusika kumpa kichapo mtoa mada na raia wengine waliopita Mombasa Ukonga hawakuwa wa Tanzania. Walitokea Angola, juhudi zinafanyika kuwasafirisha waliopigwa kwenda chini Angola kuwatambua askari wakorofi ili waweze kudhibitiwa. Na kama kuna raia ana ushaidi kuwa ni FFU wa...
  12. X

    Miss u my mwanza mwanza

    Kipenda roho ndugu, mimi supu tu, huo mji hata kama hauna umeme litakuwa jiji langu. Wwe Taja tu maeneo yote yanayouza supu, lakini jua tu haipatikani kabla ya saa tatu asubuhi, ukitaka tubet. Nimeongelea supu tu, but in mwanza kuna mambo ya huduma za jamii ambayo ni ya msingi upatikanaji wake...
  13. X

    Polisi FFU Ukonga nimewakosea nini? Nimepigwa mimi,mke wangu na Mama mkwe bila kosa lolote. Nifanyaje kuchukua hatua?

    Nafikiri kwa technology iliyopo, uwepo wa wahitimu wengi wa degree na diploma tena katika umri mdogo na uhitaji na uelewa wa watu kuhusu haki za binaadamu; ni wakati mwafaka kwa serikali kupandisha level ya elimu ya kujiunga na jeshi la police. Vinginevyo pamoja na kupiga kwata, mafunzo yao...
  14. X

    Miss u my mwanza mwanza

    Mji ambao SUPU haiwezi kupatikana mpaka ifike saa tatu asubuhi hata uwe na mazuri yepi siwezi kuupenda kamwe. Kila mtu ana vigezo vyake, niseme tu mwanza huwa pananikera sana kwa hili.
  15. X

    Balimi zangu naomba apewe mheshimiwa Rais ili akiongezea na zake apate 14

    Mgagaa na upwa hali wali mkavu. Hicho hicho si haba, asingekomaa nao tusingekipata Wakiwa jeuri unakuwa jeuri zaidi yao. Mengi yatakayotokana na michakato hii ni ya long term, Kwa hy ni rahisi kubeza kwani immediate impacts zinaweza zisiwe kali kivile Kwa sector ya madini walau serikali...
Back
Top Bottom