- Thread starter
- #21
Kaya ni watu 6 kwa 30000 kila mmoja hapa mwanachuo analipa 10000.jumla 60000. Kwahiyo chuo kinatuibia 30000.Au nawe ni mnufaika? maaanake hilo Omo Si mchezo?Bima ya afya ya jamii (CHF) iliyoboreshwa ni Sh.30,000 kwa kaya ya watu sita; sawa na wanafunzi sita. Hii yako ya Sh.10,000 ni ya zamani.
Hii habari imekaa kiuchochezi. Soma kijana acha siasa.