Recent content by Xanderrr

  1. X

    Baada ya maandamano ya D9 kufeli habil atakuja na story gani tena?

    Leta picha za foleni ndefu kwenye vituo vya kupigia kura acha longo longo
  2. X

    Baada ya maandamano ya D9 kufeli habil atakuja na story gani tena?

    Sawa we si umesema walimpigia kura uyo mama enu adi saa 5 asubuhi...basi acha longo longo leta picha apa
  3. X

    Baada ya maandamano ya D9 kufeli habil atakuja na story gani tena?

    Tunaomba picha za mistari mirefu ya watu wakienda kupiga kura Oktoba 29
  4. X

    PostGE2025 Wanaohoji au kushuku ushindi wa Rais Samia Suluhu ni wagonjwa kiakili

    Umemjibu vizuri sana akirudi kujibu hii nishtue😅😅😅
  5. X

    Kuna Njia Mbili za kuishinda Dola; Moja, uwe sehemu ya Dola au Uungane na taifa jingine lenye nguvu kupambana na Dola yako

    We jamaaa unaongea vitu gani na ww mbna kama huna kichwa aisee🚮🚮
  6. X

    PICHA inaongea mengi

    Hutokuja kusikia Neno "watekaji kwenye kinywa cha Mwamposa" 😅😅😅
  7. X

    PICHA inaongea mengi

    Mwamposa anaelekea kuwa kam TB Joshua aise jamaa alijikamatia Marais wengi sana....one of the best high profit free tax business
  8. X

    Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    Tafuta The kemetic Tree of life...then The Stolen legacy
  9. X

    Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    Islamic religion yenyew imetokea kwenye Christianity long time ago in 7th century na ni uyo uyo mtume Mohammed alieanzsha Uislamu through reading Christianity books na binam yke and by the way Mtume Mohammed alikua mfanyabiashara kabla ya kuanzsha io dini so kuanzsha uislam was a simple idea kw...
  10. X

    Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    Hivi ni kipi cha kwanza kutangulia kati ya Dini na Mungu?...ni kipi apo kilimtambulisha mwenzie?
  11. X

    Nataka kujenga

    Au yale magofora ya mirunda ya mbugani mbona kwa million 5 anatusua mwez wa 6 kashahamia
  12. X

    Nataka kujenga

    Anza ujenzi hela nyingi sana...mwaka juzi kuna jamaa alianza kujenga ghorofa kwa million 4 na nusu saiz kashahamia
  13. X

    MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    Wazee nlikua naulizia Ubora wa Hunter 150 kwa weny uzoefu na piki piki
Back
Top Bottom