Recent content by xady

  1. X

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nani anataka kuja Ludewa idara ya secondary nipazuri ati,,,kuna umeme namaji
  2. X

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo,,,,Ludewa idara ya sekondali
  3. X

    JamiiForums Tanzania Siasa za ulimwengu wa sasa na madhila kwa waislamu ukweli unafahamika

    Nimeona mikutano miiingi sana yainjili ile yawalokole,,,,,nilichokishuhudia pale wao wanasema ACHA DHAMBI UTAKUFA,, MPOKEE YESU UTAOKOKA,,,ACHA WIZI,UCHAWI,UZINZI,ULEVI NK,,OKOKA UENDE MBINGUNI,,,hawa watu sijasikia wanaitaja dini yamtu wala kutoa tusi lolote nawatu wanaokoka kweli kila siku...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo mkakati mzima wa CCM kuidhoofisha CHADEMA...

    Peeeeeeopleeeeeeeeees,,,hawatuwezi hawa tunajua mpaka wanachokiwaza.
  5. X

    JamiiForums Tanzania Wajumbe baraza kuu CHADEMA watinga kwa msajili wa vyama vya siasa na CAG

    CHADEMA tishio bana coz watu hawalali chama kinawanyima usingizi CCM, kila kukicha wanakuja najipya. Ilikuwa chakidini, ikawa chakikanda, ikaja chakikabila, then chakigaidi sasa wamekuja nasela matumizi mabovu,,,,lakini hili nalo litapita kama lazitto na...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Wajumbe baraza kuu CHADEMA watinga kwa msajili wa vyama vya siasa na CAG

    Sasa Bwana Mbogo, kumbe CDM yoooooote imeoza na lengo lako naona nikukiangamiza kabisa chama kwani naona wabunge wa CDM wooote na viongozi wakuu hawafai, basi tuletee UVCCM watuongozee chama maana ndo lengo lako. lakini nasikitika kusema kwamba umefeli kaka wewe lengo lako nipesa ila sio...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Majibu ya hoja za 'wajumbe wa Baraza Kuu' waliowalipua Mbowe na Dr. Slaa

    Mtasema sana CDM mbele daima peeeeeeopleeeeeeeeeeeeees,,,,,,,
  8. X

    JamiiForums Tanzania Majibu ya hoja za 'wajumbe wa Baraza Kuu' waliowalipua Mbowe na Dr. Slaa

    Sasa wewe unaesema majibu nimepesi tupatie yako mazito,,Hongera sana kamanda majibu mujarabu kabisa, mwenye kuelewa ameelewa naasiyeelewa basi arudie tena kusoma. Dr na Mbowe manafanya na wamefanya kazi nzito sana kukijenga chama pesa wanayolipwa sio kitu kam kulikomboa taifa thidi yamkoloni...
  9. X

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Ludewa idara ya sekondali anayetaka tubadilishane tuwasiliane.
  10. X

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanaua vipaji vya siasa kwa Vijana, Yu-wapi James Ole Milya na Bananga

    Hahahaha Mdee, Mnyika,Lisu,wenje,sugu,msigwa,silinde duuuuh!! amakweli CDM tunaua vipaji. CCM vikuzeni tuone,,tangu nizaliwe mpaka naajiliwa kingunge, wasila nk bado niviongozi amakweli mnakuza vipaji.
  11. X

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa na siasa za sungura aliyesema sizitaki mbichi hizi

    Sijaona chakuchangia hapo Coz uwezo wako wakufikiri nimdogo saaaaana.
  12. X

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

    Kama unampenda Mungu kweli usifanye nae chochote mpaka ndoa, kwani ndivyo vitabu vitakatifu vinavyo tuelekeza ila tumekuwa walafi sana.huyo ndo atakuwa mke halisi kaka.
  13. X

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaetaka kuja Ludewa idara ya sekondali tuwasiliane
  14. X

    JamiiForums Tanzania Jenifer Mgendi mkongwe wa mziki ila hajatoka

    Mgendi yupo jamani, bado anamtangaza Yesu waukweli kwanguvu zake zote.
  15. X

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha gospel(above 80 channels)

    Jamani mimi ninadish lakawaida but napata channer 5 tu ambazo ni loco ila star tv haipo nisaidieni...
Back
Top Bottom