Katika kifaa chako install browser hii into onekana hapa chini inaitwa BRABE. Inaondoa matngazo yote automatically. Ninaitumia kushusha muvi na series like never before
🥰😍🤩🥳😁💥💥💢
Hii mechi ya Uganda inanipa kuamini kwamba Tanzania wengi wanaishi kwa hofu ya kukabwa njiani wanapo rudi home kwao hasa mechi za usiku. Hii pia inatoka picha ya insecurities zilizopo nchini. Kwanini watu HAWAJALI uwanjani usiku? Hofu yao ni ipi haswa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.