Recent content by x.jamex1

  1. x.jamex1

    Wapi ipo fitness centre jirani na kijitonyama

    Hah hah sawa mkuu shukran
  2. x.jamex1

    Wapi ipo fitness centre jirani na kijitonyama

    Azura ndo wapi hyo
  3. x.jamex1

    Wapi ipo fitness centre jirani na kijitonyama

    Wadau hvi wapi naweza pata fitness centre jirani na sayansi kijitonyama ukitoa ile ya oilcom
  4. x.jamex1

    Mabasi ya mwendo kasi kwenda chini ya 40km/hr

    Lakini vpi kuna umaana gani wa kutengea barabara zake kuliepuka hlo
  5. x.jamex1

    Mabasi ya mwendo kasi kwenda chini ya 40km/hr

    Kwa siku ya jana na leo madereva wanashuka mpaka 20km/hr wanaogopa pgwa fine
  6. x.jamex1

    Mabasi ya mwendo kasi kwenda chini ya 40km/hr

    Hivi kitendo cha sirikali kulimit mabasi ya mwendo kasi yasizidi speed ya 40km/hr mnaonaje hiki wakuu?
  7. x.jamex1

    Nataka kurisiti (PCM)naomba ushauri

    Hyo inawezekana japo ujue itakuchukua miaka mi 3 ukianzia certfct..ila uwezekano wake navoona ni kwa wwe mwnyw kujarbu kubalnc hzo ratba mbili...applctn yake ingia nacte.go.tz jaribu kufwatlia
  8. x.jamex1

    Nataka kurisiti (PCM)naomba ushauri

    Kwa mmi mtazamo wangu kama utaweza..anza diploma ya engineering unayoitaka..ila kuptia form six tena ndugu itakubana...uzuri wa diploma unaweza kuwa unasoma huku unatafuta maisha bado
  9. x.jamex1

    Nataka kurisiti (PCM)naomba ushauri

    Nimekuulza hapo juu hujanijibu
  10. x.jamex1

    Natafuta Part time Job

    Hah hah...sawa sawa mkuu..hyo nlshasoma o level hapa najarbu bahat yangu
  11. x.jamex1

    Natafuta Part time Job

    Nakuelewa mkuu..nkmesoma civil eng. Ila nahitaji kazi yoyote halali inayoweza niingzia kipato cha kujikimu
  12. x.jamex1

    Natafuta Part time Job

    Mimi ni kijana niliemaliza chuo huu mwaka..katika harakat za kutafuta ajira nitakuwa nina uhitaj kidogo..hivo ili kujikimu ninaomba wana JF kwa yoyte anaeweza hitaji mtu wa kumsaidia kazi awe skilled au unskilled anisaidie ili mradi tu nipate chochote kinywani..kama una uhitaji naomba nicheck PM
  13. x.jamex1

    Nataka kurisiti (PCM)naomba ushauri

    Una umri gani? Na lengo kubwa la kurest ni lpi
  14. x.jamex1

    Tume ya vyuo vikuu (TCU) yatoa ufafanuzi kuhusu alama za kudahiliwa vyuoni

    Ngoja tusubiri...baada ya huo mkutano tujue nini kitafwata
  15. x.jamex1

    Tume ya vyuo vikuu (TCU) yatoa ufafanuzi kuhusu alama za kudahiliwa vyuoni

    Ngoja nikupuuze..uelewa wako mdogo sana..soma ujumbe yote nlotuma then utajjisahhsha unavohc ntauliza juu ya o lvl kuchukua 7
Back
Top Bottom