Recent content by wuhulo

  1. W

    Kwanini Magufuli hawezi kuwa na mafanikio

    UKO SAHIHI. RAIS MAGU AKILALA TU WENZAKE HAWAWEZI KITU COZ YA MFUMO. WANAENDESHA MAMBO KWA HAMASA (MZUKA WA ) ZA MH. NI HATARIIIII
  2. W

    Uchaguzi wa Meya Dar Waota Mbawa

    KATIKA DHAMBI KUBWA ANAYOTAKA KUICHOTA MH. MAGUFULI NI KUDHULUMU HAKI YA NAFASI YA UMEYA WA DAR, KAFANYA TANGA NA KILOMBERO SASA ANAMALIZIA DAR. MH. MAGUFULI HUONI ? KWANINI TUPANDIKIZE CHUKI KWA BEI NDOGO NAMNA HIYO ? KUNA TATIZO GANI DAR KUONGOZWA NA WATANZANIA NJE YA CCM ?
  3. W

    Ushauri kwa Rais Magufuli kuhusu vijembe/mipasho

    KWELI AJIREKEBISHE, INGAWA NASIKIA SI MPOKEAJI WA USHAURI. YALE ALIYOYASEMA PALE KINYEREZI m m m m m m m m m .
  4. W

    Rais Magufuli ni kutokujua tu, akijua ataacha

    MICHEZO NI AJIRA SASA KUNA DHAMBI GANI POOL KUCHEZWA ASUBUHI ? TATIZO HAPA NI KURATIBIWA TU. ILA JAMAA NI UBABE ZAIDI.
  5. W

    Maalim Seif aiondoa familia yake Zanzibar

    HAKUFAI KULE KULALA SAA 2, KISA NA MKASA ! MR. TRUMP MGOMBEA WA MAREKANI ALIPOWAPONDA WATAWALA WA KIAFRIKA WATZ WENGI WALIMSEMA KIKO WAPI ? UBAGUZI WENYEWE KWA WENYEWE.
  6. W

    Rais Magufuli amdhalilisha Meya wa UKAWA Manispaa ya Ilala

    POLE SANA, TUTAYAONA MENGI KAMA ANAWABEBA HATA AKINA MUHONGO ( mita za mafuta ) NA MAKONDA ( Bondia ).
  7. W

    The English of the Tanzanian President Magufuli

    Very lack 2 our president Magu.
  8. W

    Estar Bulaya aachiwa huru

    NDUGAI MWANZONI MWA MWAKA HUU ALIKUWA ANAUMWA. mi naenda zangu.
  9. W

    Wakati tunafurahia usomaji wa namba na Majipu, nchi inakwenda huku...

    Iko vizuri sana hiyo, Mfanyabiashara anaenda benk kuweka fedha ( fixed a/c ina faida), mlalahoi anaenda benki kuomba kukopa ili awe mjasiliamali.( mkopo una riba ). wa kwanza anapata faida wakati wa pili analipa .
  10. W

    Wakati tunafurahia usomaji wa namba na Majipu, nchi inakwenda huku...

    Pohamba hajaielewa mada, arudi atafute tuition centre wamuelimishe.
  11. W

    Kama hili la Spika wa Bunge ni kweli, huu ni ulevi wa madaraka

    MATUMIZI MABAYA YA RASLIMALI, MADARAKA , JESHI NA MUDA. NASIKIA AMEKAMATWA HOTELINI SAA 7 USIKU, KAMA ILIKUWA LAZIMA AKAMATWE JE ASINGEKAMATWA ASUBUHI KULIKO KUVURUGA BIASHARA NA USINGIZI WA WATU KWA ISSUE YA MAADILI ? akili za hawa jamaa zimeenda likizo kwani kwa vitendo hivyo upinzani...
  12. W

    CHADEMA ni kichwa cha Mwendawazimu

    MBONA WEWE BABAKO MZAZI SIYO YULE UNAYEMWITA BABA NA HATUSEMI NA MAMAKO ANAZUGAZUGA ILI HALI ANAFAHAMU KUWA ALIGENDUA.
  13. W

    CHADEMA ni kichwa cha Mwendawazimu

    Shukuru sana Magufuli kwa kuamua kuzingatia madai ya muda mrefu ya wapinzani , kwa sasa kila mtu anasema sasa safi. BILA KELELE ZA WAPINZANI MAJIPU HAYATOBOLEWI WALA KUPASULIWA.
  14. W

    Muitaliano/Vicenzo Cozollino akanusha kumtetea Makamba

    He e e ! issue ya Makamba na Mtaliano kuitafuna nchi inahamia CHADEMA ? makubwa haya. bigonzo bado kidogo utakuwa bitumbaku tembea ktk line staili.
  15. W

    Ushahidi tuhuma za January Makamba

    WAJINGA WATAAMINI MANENO YA MWISHO YA MTALIANO , WENYE AKILI TUNAJUA KAOMBWA AKANUSHE KWA KUPEWA ALICHOPEWA, KWANINI AKINA MAKAMBA WALIKIRI ILI HALI SIYO YA KWELI ?. MTALIANO KAPIGA DILI TU.
Back
Top Bottom