Recent content by WUDI

  1. W

    Zitto: Iundwe Tume huru ya kimahakama kulichunguza suala la Richmond

    Issue ya richmond piga ua haitakaa iwekwe wazi,kama unataka ukweli kuhusu richmond ondoa kwanza ccm madarakani tofauti na hapo sahau
  2. W

    Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Anasubiri tu kumkabidhi lowasa nchi na hiyo ndiyo historia pekee atakayoiacha jk hapa tz
  3. W

    Ukweli kuhusu Dkt. Slaa kuondoka CHADEMA

    Mwaka 2009 ccm ilishinda kwenye serikali za mitaa kwa asilimia 98,mwaka uliofuata 2010 uchaguzi mkuu ccm ilishinda kwa asilimia 61,maanake vyama vya upinzani vilishinda asilimia 39 vikiwa na aslimia 2 tu ya serikali za mitaa,mwaka 2014 vyama vya upinzani vilishinda kwa asilimia 36 kwenye...
  4. W

    Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

    Kwa sababu ni rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania na sio chadema tu so akivaa gwanda ataonekana amewabagua wale wenzetu wa upande wa pili
  5. W

    Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    Jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe la msingi
  6. W

    Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    SHUT UP,Peleka ushahidi mahakamani kama huna kaa KIMYA EBO
  7. W

    Rais Kikwete ndiye aliyempeleka Lowassa UKAWA

    Atakayeiua ccm atatoka ndani ya ccm by mwalimu Nyerere.
  8. W

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Hizo mbinu zilikuwa zamani siyo sasa
  9. W

    Lowassa lini utakuja Mbeya, Mwanza, Iringa, Moro, Songea, Moshi, Arusha, Mtwara?

    Wakisha mtangaza mgombea wao wa urais,watatamweka kwenye ndege na watamzungusha nchi nzima so wewe kuwa na subira tu watafika tu huko
  10. W

    Mkakati wa Lowassa kuiangamiza CCM

    Abdull Kazi Sasa mkuu si utawashtua?watachukua tahadhari
  11. W

    Wassira "Tyson" ampiga M/kiti wa CCM mkoa Mara

    Mtu ukikaribia kufa unakufa tu,na lazima mfe maana sasa tumechoka
  12. W

    Kauli hizi za Magufuli

    Ni kweli hatawaangusha wana ccm wenzie na watanzania au wasukuma kama anavyowaaminisha
  13. W

    Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

    Tunakusamehe bure maana hujui ulisemalo,nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiria
  14. W

    Dk. Bilal ajuta kumfahamu Kikwete

    Mtoto wa chalinze yule amezaliwa mjini amekulia mjni
  15. W

    'Itifaki imezingatiwa'

    Kuna hili neno ITIFAKI IMEZINGATIWA lina maana gani?Naomba kwa wanoelewa wanieleshe
Back
Top Bottom