Habarini nyote. Nawiwa kuja kwenu, kuuliza kuhusiana na undani wa hii cult, au hili kanisa linaloitwa Shincheonji Tanzania.
Nimekutana na watu na nimefanyiwa uinjilishaji, mpaka muda huu nasoma kwenye center yao.
Suala ni kwamba naona ni kama sielezwi kwa uwazi baadhi ya mambo. Kiukweli nina...
Naomba niende madani moja kwa moja!
Sikuijua hali hii mpaka siku moja dada mmoja aliponikaribia na kuhisi joto mno.
Tukapeana mikono akashangaa mno mwili wangu una joto.
Mbali na wakati huo pia mara nyingi kwa nyakati tofauti mwili wangu unakuwa na joto kali ila sihisi chochote. Sina homa wal...
Nawasalimia kwa jina la DP world, bandari haitoki.
Leo naungana na hili la kushiba chakula/wali/ugali na kuhusishwa na kupungua kwa akili.
Ni hakika!
Ukishashiba ndipo mawazo ya kijinga huja, ndipo tamaa mbaya huja. Na hata kufikiria kunakuwa shallow mara nyingi.
Kwa hiyo solution ni je...
Habarini waungwana!
Ni hp intel laptop
RAM ni 8GB
HDD ni 500GB
CPU ni @2.4GHz
3 USB ports
Ethernet port
Wifi
Adapter ipo
Battery ni 30 min
Kioo kina mistari miwili
Bei ni 280K TZS tu!
Karibuni sana.
Nipo Dar es Salaam!
Brother kuna swali unaliruka mno. Nina maana kubwa. Je, huyo shetani anapokuja hizo siku za J3 huwa ana muonekano upi? Huwa ni Mzungu au Muafrika? Let's say ameamua kuja TZ kwa mfano, ana muonekano wa kizungu?
Upo sahihi. Hatakiwi yeyote kujiona bora kuliko mwingine. Upo sahihi pia Mungu hataki umuombe sijui mali, sijui pesa nk, ameshakupa vyote toka unazaliwa, yeye muombe afya njema and the like!. Yeye anafurahi unapomshukuru
Ni huzuni sana. Yaani utegee kufanya kazi kwa maarifa, uwe mvivu, usijue namna ya kutumia akili, uwe mvivu wa kutafuta maarifa sahihi then unapigika unakimbilia kujishikizia kanisani kama muhubiri na nabii? Daaah!
Hili sipingi. Wengi ni njaa tu, rejea yule pastor wa Kenya aliyeacha uchungaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.