Ukishiba akili ina vapor!

Ukishiba akili ina vapor!

Wrevta

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2023
Posts
1,442
Reaction score
1,733
Nawasalimia kwa jina la DP world, bandari haitoki.

Leo naungana na hili la kushiba chakula/wali/ugali na kuhusishwa na kupungua kwa akili.

Ni hakika!

Ukishashiba ndipo mawazo ya kijinga huja, ndipo tamaa mbaya huja. Na hata kufikiria kunakuwa shallow mara nyingi.

Kwa hiyo solution ni je, tusishibe?
 
Ndo maana wenye akili wanasema.

"Starvation in small dosses boosts productivity"

Vitu kama intermittent fasting ni moja ya solution za kupambana na uduwanzi unaoletwa na shibe
 
Back
Top Bottom