Recent content by wosa

  1. wosa

    Vurugu za Korea Kaskazini inawezekana ni karata dume anayocheza China

    Ni maajabu makala yote hii mtu katoka na korogwe Sent using Jamii Forums mobile app
  2. wosa

    Risasi za Lissu na majasusi wa Urusi nchini Montenegro

    Kama kwl hyo unaemsifia ana nia nzuri na taifa kwnn asitumie mda mwingi kuwaza kupambana kiuchumi kuliko kutumia mda mwingi kuwanyima political space wnasiasa wenzke, anataka asikike yye tyu... Sent using Jamii Forums mobile app
  3. wosa

    Kura za Magufuli kwa uchaguzi ujao zimeongezeka maradufu

    Mstuandae ki saikolojia...ww kakusaidia nn? Maish yko yameboreka kwa kiasi gn? Tuanzie hpo tyu.. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. wosa

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Anaehitaji c8 nichek Sent using Jamii Forums mobile app
  5. wosa

    Wanaume wengi siku hizi hawatongozi muda mrefu

    Zamani walkuwa wnaishi kijamaa ...wnajuana mpk tabia, nyumba zilikuwa hapa na pale ...hii urbanization imekuja na changamoto zake Sent using Jamii Forums mobile app
  6. wosa

    Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

    Kwani chama chake kinaunda serkali?...yeye sio wa kulaumiwa kwani kila siku wnashauri bungeni kuhusu maboresho katika kila sector ikiwemo elimu...je! Ccm iko tayari kuyafanyia kazi? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. wosa

    Padri Mapunda: Wapinzani sio maadui, Mfalme Suleimani hakujifanya Mungu mtu. Magufuli ajifunze

    Safi sana Padri, hdi viongozi wa dini wakikaa kimya ni nani atakaekemea udhalimu?...hakuna haja ya kumuogopa mtu atakaekufa km ww tyu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. wosa

    Msikilize CAG hapa kuhusu mojawapo ya matatizo ya TANESCO

    CAG anapata ujasiri kutekeleza kaz ake bila kufungamana na upande wwte kwa sabbu rais anayo madaraka ya kumweka madarakan ila sio ya kumtoa....hyo ni tofaut na kada km mawzir,wakuu wa mikoa, na viongoz wakbw kwny kada mbalimbali wnaowekwa na rais na anaeweza kuwatoa muda wwte...hao lzm wafanye...
  9. wosa

    Hivi kipi ni kipimo sahihi cha mafanikio?

    Kna mtu alsema kipimo sahihi cha mafanikio sio kiasi ulichonacho kwny bank account, bali ni kiasi ulchonacho kwny mioyo ya watu kuptia msaada uliowapa
Back
Top Bottom