Recent content by wondering

  1. W

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Mnakula miguu ya kuku na utumbo kwa sababu ya CCM

    Mi hata sielewi elewi
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kwa ujenzi huu wa Uwanja wa ndege Chato, Rais Magufuli anatukatisha tamaa "watu wake"

    Inaniumaga sana kwamba na mi ni mtanzania aisee, yan nchi haieleweki viongozi wanajijali wao tu na siku hz ubabe mwingi yan hata kademokrasia kalikokuwepo kanachukuliwa hivo, mwanzo nilidhani hii serikali itaufanya tanzania kuwa na mwelekeo mzuri lakini si hivyo tena nachoona ni kuwa tunaelekea...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Hizi likizo za Rais Magufuli ni tofauti na watumishi wengine?

    We utamlinganishaje rais JMT na watumishi wengine, huna adabu kabisa!!!
  4. W

    JamiiForums Tanzania Hii inakuaje...Hapa Mjini Jirani Mrembo anakuja kwako zaidi ya mara mbili anakuuliza kama una Mchi/Mtwangio?

    Huyu jamaa sijui akili ndo imejaa haya mambo au nini mana kila siku mada za aina hiyo hiyo
  5. W

    JamiiForums Tanzania Leo 5/11/2017 naacha pombe rasmi

    Pombe endelea kunywa tu bana ila tu usizidishe
Back
Top Bottom