Recent content by Won mawila

  1. Won mawila

    JamiiForums Tanzania Magofu ya kitalii yakarabatiwe yatumike

    Kama nakuona unatazama safari chanel unachosema ni kwel mana majengo mengi yanaonekana kuchoka bila kuchukua hatua miaka ijayo yatapotea kabisa
  2. Won mawila

    JamiiForums Tanzania Ngumu kuwa na rafiki wa kiume

    Tupo lakini ni wachache sana
  3. Won mawila

    JamiiForums Tanzania Niendelee na ustaarabu au nitumie nguvu?

    Hu ndo ushauri japo ni mgumu ila akishinda atajileta mwenyewe
  4. Won mawila

    JamiiForums Tanzania ★ Je ni sawa mwanamke kuvaa boxer badala ya chupi ★

    Mbona kama povu hivi au ndo wewe
  5. Won mawila

    JamiiForums Tanzania ★ Je ni sawa mwanamke kuvaa boxer badala ya chupi ★

    Hapana kakweli
  6. Won mawila

    JamiiForums Tanzania ★ Je ni sawa mwanamke kuvaa boxer badala ya chupi ★

    Habari watu wangu wa nguvu baada ya kupigwa ban ya nguvu kabisa sasa nmeludi tena hapa na niwatoe hofu mm ni mzima kabisa naendelea na majukumu yangu kama kawaida natumai mu wazima wa afya Sasa kuna hili jambo naona halijakaa sawa kabisa ivi inakuaje mwanamke mzurii na unaejielewa unavaa boxer...
  7. Won mawila

    JamiiForums Tanzania Mzazi kuaanza kukutegemea wewe kwa kila kitu bila kujali mshahara wako mdogo

    Na wazazi wengine usipowatumia pesa wana waka kama mbogo wengine hufika mbali zaidi wakisema kama hutumi pesa basi tafuta mama mwingine ye sio mama yako tena wakati huo umefanya kazi na bos kakupiga shoka wengine wakijua upo mjini wanajua una pesa kumbe chenga ila hamna namna ni kupambana tu...
  8. Won mawila

    JamiiForums Tanzania UDART watenge buses maalum (moja ama mbili) kila route kwa ajili ya wanawake na wanafunzi pekee "during rush hours" siku za kazi

    Waweke la watoto hao wanawake acha tupambane hamna namna haki sawa
  9. Won mawila

    JamiiForums Tanzania Safari za mabasi Tanzania zinavyoboa! Muziki unaopigwa ni ule ule na movie ni zile zile

    Acha kupangia watu ww kama unataka kulala lala we unavyolala kuna wengine wanaamka wanajiliwaza na hizo tv
  10. Won mawila

    JamiiForums Tanzania Niko njiani nkielekea msibani. usipokutana na vibopa hapa maishani ujue ndo basi tena,ngoja nikatoe gundu

    Safii ukikaa jirani na Ua ridi lazima unukie
  11. Won mawila

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 23 tu, lakini wanaotaka kunichumbia hawakatiki nyumbani. Nifanyeje kuwaepuka??

    He hee wakuchumbiwa utakuwa wewe!!!
  12. Won mawila

    JamiiForums Tanzania Vyakula vinavyosababisha kitambi

    Sure kitambi kinaleta heshima
  13. Won mawila

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mtwara na Lindi, tupeni hali ya hewa na kile kinachojiri

    Hata mimi nlijua tu hamna lolote km kimbunga kitakuja kwa wakati wake chezea mungu w
Back
Top Bottom