Recent content by Woman 949

  1. Woman 949

    Anayeweza kuniunganisha na NGO's inayohusika na watu wenye VVU

    Nakushukuru sana kama una watu naomba ni connect japo mimi nina degree
  2. Woman 949

    Anayeweza kuniunganisha na NGO's inayohusika na watu wenye VVU

    Wapendwa mimi ni dada ninayeishi na virus vya UKIMWI na ninapenda kufanya kazi na taasisi zinazohusiana na mambo ya UKIMWI, nawaomba sana mtu yoyote anayezijua hizi taasisi aniunganishe nina elimu ya chuo nimesomea sociology. Naomba msaada wenu
  3. Woman 949

    Natafuta Mwanaume Mwenye VVU

    Wapendwa habari, mimi ni mama mwenye miaka 35 natafuta Rafiki wa kiume mwenye anaishi na vvu, nahitaji mwenye hali kama yangu ili kuepusha unyanyapaa. Vigezo awe 35 na kuendelea awe mchapakazi, msafi pia yaani anayejipenda na awe na hofu ya Mungu.
Back
Top Bottom