Bahati mbaya na nzuri kwangu tupo JF and not Twitter,ni kawaida yako ukiambiwa ukweli unapanic na kutoa povu. Hivi nani hajui jitihada zako kuomba kusamehewa madhambi yako dhidi ya Tanzania?Unadhani ulichokifanya ulikuwa sahihi?utabaki kuisikia Tanzania,na nikwambie kurudi Tanzania ni ndoto...
Yes it's easier to get to know him in details. Sijui kwann ila kiukweli binafsi siwezi kumwamini mtu anayeitwa askari polisi au aliyepitia jeshi la polisi. Kwa muktadha huo namweka kwenye kundi lilelile,najua kama ni kubadilika ni kipindi hiki cha mzee na haswa akiwa DG TAKUKURU.
Jamani Pascal ni mfukunyuaji,unapenda sana kuwavua watu nguo. X-Spy alimsifia sana Dkt Kapilimba,na niseme tu alifanya hivyo akitegemea kupata favor ya kusamehewa na kuondoka kwenye blacklist. Bahati mbaya mzee wa watu alivyoletewa portfolio ya EC akakutana na makubwa hivyo akaendelea kumweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.