Recent content by Wizzoh

  1. Wizzoh

    Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

    Kwa kudhihirisha unatafta publicity ya tahmeed ndo maana unatukana sasa kati ya wewe na wadada wa Kilimanjaro unaowaponda nani hajui customer care??????....koz ya kwenye gari wanasikia abiria tuu je hapa kwenye mtandao wa kijamii niwangapi wanayaona majibu yako then unataka utuaminishe kua nyie...
  2. Wizzoh

    Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

    Nilichojifunza hapa kua huyo falcon Mombasa anafanya kujitangaza kupitia mgongo wa Kilimanjaro na wakati mwingine ukiona mtu anamponda mwenzie badala ya kusema yake basi ujue kua huyo anaesemwa ni zaidi na tishio kwake sasa kama nauli zao za kutoka dar to Arusha ni 25,000 to 22,000 mbona bei...
  3. Wizzoh

    Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

    Choo hakitumiki kaka acha uongo
  4. Wizzoh

    Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

    Klm iliyoanguka Arusha haikuua nilikuwepo kwenye eneo la ajali usipotoshe watu kwa kujipigia debe
  5. Wizzoh

    Kweli CCM Tunachukiwa!

    Subiria baada ya uchaguzi ndo utajua ukitetee au usikiteteee
  6. Wizzoh

    GE2015 Hongereni tena Segerea: Nina furaha tele na sijatetereka

    Huo ndo ukomavu wa kisiasa
  7. Wizzoh

    Yapo wapi maduka ya hardware yanayokopesha vifaa?

    Tunakopesha nowadays wanatoa hela si vifaa tena
  8. Wizzoh

    M4C yatekwa na Friends of Lowassa

    Dah friends of lowasa wanaonekana wananguvu zaidi ya M4C tukubali hilo
  9. Wizzoh

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Katika kipindi hiki kifupi chenye mambo mengi kwa taifa letu ikulu haiwezi sema lolote koz kila mtu anafikiria nijinsi gani atarudi ofisini kwake baada ya uchaguzi kwisha
Back
Top Bottom