Recent content by Wisertz

  1. Wisertz

    Natafuta Marafiki

    Habari, hopefully mko wazima, likewise hapa, Mungu ni mwema sana. Good friends out there karibuni sana. Naitwa Nick, aged 33. Employed. Naishi Dar es Salaam. Thats all for now. Merci!
  2. Wisertz

    House4Rent Nyumba mpya inapangishwa Banana, Kitunda (kodi elfu 80)

    Hapana mkuu, ijapokuwa ni nyumba za kupanga, ila wenye nyumba wanatakiwa waendane na hali ya sasa (kubadilika kulingana na mazingira), walau mlango uwe mkubwa ikishindikana 100, but mostly, weka 120 upana iwe milango ya double, kunakuwepo na urahisi wa kuingiza vifaa kama makochi, friji nk. Hili...
  3. Wisertz

    Nyumba zinapangishwa.

    Vyumba viwili, kinyerezi? Hiyo bei haiakisi uhalisia.
  4. Wisertz

    Naona aibu kuingia guest na mwanamke

    Oa ndugu. Achana na mademu.
  5. Wisertz

    Gharama za mazishi yanatia stress familia

    Kwa msiba tajwa, rambi rambi buwa zikoje?
  6. Wisertz

    kuendesha gari wakati wa mvua

    Pole, mara nyingi changamoto husika hutokea pindi unapofunga vioo hadi mwisho kukwepa kuloa ilihali hujawasha Air condition. Hivyo, inapotokea hali kama hiyo, funga vioo sawa ila washa aircontion kwenye gari yako, utaona tofauti.
  7. Wisertz

    Mdau: Unapenda kula kitimoto ipi?

    Ya kuchoma hiyo, ni balaa[emoji119]
  8. Wisertz

    Tetesi: Kwanini maofisa wa usalama wa nchi za Afrika wakimaliza utumishi kwenye idara zao wanaajiriwa kuwa maajenti wa CIA

    Then nchi ya Marekani ina vilaza wengi sana, kwani majimbo 10 ambayo ni Alaska, California, Colorado, Maine, Massachusetts, Michigan, Nevada, Oregon, Vermont na Washington wameharalisha matumizi ya Bangi.
  9. Wisertz

    Hali mbaya: Nimemwona jamaa anatembeza chumvi kuuza

    Hali mbaya kivipi rafiki? Kule Katavi chumvi ya 500 unaweza tumia mwezi mzima! Bei haiashirii hali mbaya but upatikanaji wake, pamoja na umuhimu wa chumvi, ila hupatikana kwenye mazingira yasiyo na gharama sana hivyo kupelekea kuuzwa kwa bei ndogo.
  10. Wisertz

    Shukrani kwa Mungu kupitia kutembelea & kusaidia wenye mahitaji

    Asante, kama una muda/nafasi, pls karibu. Uwepo wako ni zaidi ya fedha/kitu. Tafadhali karibu sana.
  11. Wisertz

    Shukrani kwa Mungu kupitia kutembelea & kusaidia wenye mahitaji

    Hello! Nimewasiliana na Mama Mlezi dada Consoler na haya ndio baadhi ya mahitaji ya sasa ya kituo cha New Hope for Girls Organization (NHGO). 1. Nauli za shule Tshs 61,000 kwa siku. 2. Ada kwa ajili ya wanafunzi wa QT ambao idadi yao ni 6. Ada ni Tshs 30,000/= kwa kila mmoja kwa Mwezi. 3. Unga...
  12. Wisertz

    Shukrani kwa Mungu kupitia kutembelea & kusaidia wenye mahitaji

    Hii ni historia fupi ya Dada Consoler mlezi wa kituo husika, hii ilitolewa wakati wa mchakato wa kumpata Malkia wa Nguvu Clouds mwaka 2018. Walau nimeona tumfahamu yeye na mumewe pamoja na huduma aanayofanya kikiwa kama kituo cha kwanza ambacho tutakiyembelea kwa Mwaka 2019. Karibuni kuipitia na...
Back
Top Bottom