Recent content by wiseman734

  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nimemkuta anabebwa na 'Beach Boy'

    Mtoa mada una uhakika unataka kuoa!?? Una umri gani!??
  2. W

    JamiiForums Tanzania Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

    Dada dawa ni operation, usijidanganye na miti shamba
  3. W

    JamiiForums Tanzania Michango kuwanusuru viongozi: CHADEMA imekubali hatia?

    Mtoa mada ipo hivi hukumu iliyotolewa leo haiwezi kutenguliwa kwa kusudio la mshtakiwa kukata rufaa!! Kisheria hukumu huwa inatekelezwa huku taratibu za rufaa zikiendelea!! Hukumu ya awali itabatilishwa na hukumu ya mahakama ya juu zaidi kwenye shauri hilo!! Ndipo utekelezaji wa adhabu ya awali...
  4. W

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tunashukuru sana REA kwa kutuwekea nguzo hali inayotutia moyo kuwa huduma ipo karibu!! Haya ni matunda ya uchapakazi wa viongozi wa awamu hii. Tunaomba basi muweze kulimalizia zoezi lenu hili mkoa huu wa Pwani mtuwekee nyaya na kutuwekea umeme sisi wananchi.
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali la ugomvi:Je ulishawahi kwenda kupima HIV na mwenzi wako ukakuta mwenzi ameathirika!?

    Ni bora kupima ukawa unatembea na kit zako mfukoni
  6. W

    JamiiForums Tanzania "Graduates" karibuni sana mtaani

    Fresh Graduates mpo!?? Njooni mkasome hapa
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali la ugomvi:Je ulishawahi kwenda kupima HIV na mwenzi wako ukakuta mwenzi ameathirika!?

    Kuna watu wakiona maada za Ukimwi hawazifungui kabisaaa
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali la ugomvi:Je ulishawahi kwenda kupima HIV na mwenzi wako ukakuta mwenzi ameathirika!?

    Kama kichwa kinanavyojieleza, umeshawahi kwenda kupima na mwenzi wako majibu yakawa mabaya kwa mmoja wenu!?? Je ulifanyaje baada ya kupewa majibu!?? -------------------------------------------------------- Ilikuwa 2017 mwezi wa sita tarehe 27 nikaopoa chombo, nikpiga kwa kutumia zana! Asubuhi...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu upimaji Ukimwi

    Kapime sio unataka kuulizia humu
  10. W

    JamiiForums Tanzania Historia ya kweli ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda

    Weka ya 4
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kuna kipimo kikubwa cha Ukimwi?

    Elisa rapid test ni combination ya antibody na antigen uwezo wake ni kuanzia siku 11
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Simlipii single mother mahari hata kidogo
Back
Top Bottom