Recent content by wise2nd

  1. W

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Nina imani na Pep, yeye ni kocha mwenye uwezo mkubwa sana, najua kashawasoma inter anaweza kubadilisha mfumo ghafla akawashangaza
  2. W

    JamiiForums Tanzania Dawasa wanatupiga

    Mimi nimekuwa nikilalamika sana kuhusu hili kwakweli
  3. W

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Wilaya ya Tanga awaomba waumini kutotumia Sanitizer kabla ya swala maana ina kilevi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. W

    JamiiForums Tanzania Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

    Hawa walikosea tangu mwanzo walipoingiza channels nyingi tu za kiislam kasoro chanel ya kikristo hata moja tu Na ndio maana mimi hata kama ningetamani kununua Azam walau kwa ajili ya ligi, Niliona ni afadhali nikajinunulie Statimes! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. W

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Duuh
  6. W

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Tukiendelea hivi si tunaweza kufungwa hata 6? Na hii ina maana gani basi liver wanaweza kututoa? Dah! Sijatarajia kabisa yani
  7. W

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Dak 45 za mwazo zimeisha!
  8. W

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Nipeni tathimini yenu wadau mnadhani nini tatizo? City vs Liver 0-3
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hanitaki kisa siamini sina hofu ya Mungu

    Imeandikwa katika Zaburi kuwa, 'Mpumbavu amesema moyoni mwake HAKUNA MUNGU'
  10. W

    JamiiForums Tanzania Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

    Wadau hili pambano linafanyikia wapi
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi watu wa hali ya chini wanawezaje kuoa na hizi mali?

    Angalizo kwa hii dhana ya mahari huwa haiishi! Mkishakubaliana kuwa mahari labda hiyo 2m mfano,inawekwa kwenye maandishi. Hivyo ni deni kama madeni mengine tu. Kwanza deni huwa na kawaida ya kumfanya mdaiwa kuwa mtumwa,so unaweza kufanywa mtumwa wa mashemeji na hata kuwapa jeuri baadhi ya...
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna wanaume wanavyojiua kwa kumwaga shahawa

    Waiting for it
Back
Top Bottom