Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,117
- 4,781
Huyo ana haki ya kukukataa coz hujaenda kwake kuhubiri dini.
Unatakiwa ufate ulichokitaka, mambo ya dini yatakaaa sawa tuu huko mbeleni.
Imani ina nafasi kubwa sana kwenye mahusiano, unadhani wanaoachana sababu ya tofauti za imani wali date kuhubiriana dini?
Kama unajua mnatofautiana imani na hakuna alie tayari kufata mwenzie bora kuachana mapemaaaa! Mana ugomvi usipoanzia kwenu wenyewe utakuja watoto wakizaliwa, yani kukwazana kutakuwepo tuuuu hata ujikaushe vipi