Recent content by winston20

  1. winston20

    JamiiForums Tanzania Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

    Hii hali kumbe ni wengi tunaipitia,pole sn kikubwa mkabidhi MUUMBA wako[emoji120]
  2. winston20

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    Hizi ni Decoys mkuu wanatupofusha macho mambo yao yapite
  3. winston20

    JamiiForums Tanzania Nani anafuatilia Machozi ya wanyamapori katika mbuga ya Selous ambayo JNHPP imejengwa katikati yake?

    Kumbe Selou ni ndogo kiasi Icho mpaka kuwafanya wanyama wakose pa kwenda?
  4. winston20

    JamiiForums Tanzania Yalikuwa yanajisifu ni ya kimataifa. Yamepigwa ndani nje sasa yamejificha kwenye dhuluma waliiofanyiwa Yanga

    Umemsikia Ahmed Ally leo airport??
  5. winston20

    JamiiForums Tanzania Ya Ndumbaro hayajapoa, MwanaFA kaja na jipya. Viongozi wa kisiasa acheni mihemko

    Uzuri Rage alishatwambia,
  6. winston20

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

    Upande wa mama walizaliwa kumi.Wakike 6,wakiume wanne.wajomba wote wako hai Ila huu ugonjwa ukawabeba Mama× Mama mdogo× Mama mdogo× Mama mdogo× Mama mdogo× Mama mdogo× Baba nae akaenda wakatuacha wadogo sn.Huu ugonjwa hadi leo umetuathiri sn kisaikolojia.ila MUNGU ni mwema tunapambana
  7. winston20

    JamiiForums Tanzania Timu ya yanga inachezesha wachezaji wengi wa nje kuliko wazawa

    Kwenye kikosi wazawa hujawaona au macho huna? mpuuzi kama wapuuzi wengine [emoji1745]
  8. winston20

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempenda binti aliyepooza mwili, sielewi kama niendeleze ukaribu naye au lah

    Kwa uandishi huu kazi ipo[emoji22]
  9. winston20

    JamiiForums Tanzania Orodha ya waandishi wanaofanana kwenye utunzi wa hadithi zao

    Kuna Kelvin Mponda pia yuko vizuri sana
  10. winston20

    JamiiForums Tanzania Mwenye soft copy ya riwaya ya mkimbizi

    Numekucheki inbox mkuu
  11. winston20

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Tunangoja next chapter
Back
Top Bottom