Sikuwahi fikiria kama rafiki anauma hivyo , mpaka siku my best friend alipo tangulia mbele za haki.
Kama ulivyo sema , ni hivyohivyo kwangu , ucheshi , ushauri, kusaidiana alikua kama ndugu yangu , halafu ikafika wakati tukajikuta kumbe wote tuna tabia sawa yani ya kutojichanganya na watu na...
Utanisamehe kwa kutoe elewa vizuri , naomba nitpe mfano halisi
Mfano nina miliioni mia , caltlation je inakwenda kamanhivi ?
100,000,00 X1/100 na ammount nayo ipta ndio hiyo hiyo kwa mwezi? Yabi nikiwa na maana ile 1,000,000 , inakuabkamili au nayo naigawa kwa 12 ? Asante
Habari zenu wadau? Nilikua naomba maelezo kwa mifano halisi namna ya ku calculate hiyo mifuko , nikiwa na maana nikitaka kupata income ya kila mwezi kwa kiasi cha uwekezaji wa Milioni 100,000,000/= , natanguliza shukran.
Nyie watu mnajiita akili kubwa halafu hamjiongezi , mpaka niseme nia yangu ilikua nini? mimi nilichotaka ni kujau hiyo Pisi kali ilikua inaitwa nani? mtoto alikua mrembo sana , nilichotaka kujua jina lake na yuko wapi kwa sasa na kama kuna mtu ana Instagram au facebook yake, mrembo kama...
Kwa siku hizi naona kuna uzungu mwingi sana kwa vijana wengi, nikajiuliza hivi watoto wa sasa wa shule za msingi hufungwa mambo ya kitamaduni?
Hapo ni watoto wa shule ya Msingi Oysterbay wakichenza ngoma za asili kwenye mahafali ya mwaka 1987. Je, wa sasa wanaweza cheza ngoma?
TUngependa thread nzima ya story za enzi hizo milivyo kula bata na ikiwezekana vipicha basi tuone mambo yalivo kuwa maana inaonekana bata halikua la kitoto . Entinnes tulichea mziki hapo enzi za Clouds kipindi fulani miaka ya 1990 fulani ,Mbona sija sikia ukitaja Mbowe au kule walikweda...
Kabla sija vote ntaka mpambue ushungi Ms Faiza Foxxy tumthaminishe kama yaliyomo yamo.Ila kwa vile siku hizi hata wazee , walio olewa , walio zaa wana ruhisiwa kushiriki basi kura yangu inakwenda kwa Faiza Foxxy , sababu utu uzima dawa, napiga picha kipindi ana cheza disco pale Entence Hotel...
Acha urongo, Israel kumejaa wa Ethiopia na wengi wako jeshini, wale Ethiopians walio na damu ya ki Jewish wali chukuliwa kurudishwa Israel na hao vijana hapo ni Ethiopians
Jibu unajijibu halafu jibu hulioni, Israel wamechukua muda kuhakikisha raia wa Kipalestina wanaondoka eneo husika ili waweze shambulia waharibu miundo mbinu ya Hamas, fikiria kama wangepiga Gaza hapo hapo si leo unge vua hadi huo ushungi kwa kulia ? Huwa siamini kama wewe ni mwanamke unachat...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.