Recent content by windows8.1

  1. windows8.1

    JamiiForums Tanzania PSPTB v/s CIPS

    Wadau! Ipi kati ya hizo itanifaa zaidi kwani nategemea kuanza kufanya mitihani ya moja wapo. Kitaaluma nina shahada ya elimu na post graduate diploma in procurement and logistics management.
  2. windows8.1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushauri kuhusu ajira zisizoendana na taaluma

    Aende tu mengine yatajipa mbeleni
  3. windows8.1

    JamiiForums Tanzania Kila kitu sasa kiko ukutani

    Si poleplole!!
  4. windows8.1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moto G2 (2014)

    poleni na kazi! ninataka kununua simu aina ya moto G2 lakini sijapata sehemu wanapoiuza simu hii hapa mwanza .Kwa yeyote anayefahamu namna gani naweza kuipata simu hii naomba anifahamishe.
  5. windows8.1

    JamiiForums Tanzania Wenye uelewa juu ya Bodi ya Ugavi (PSPTB)

    Nakalibisha maoni zaidi wadau coz bado mkanganyiko;level 4 or 1. ipi sahihi? Hengera kwa waliotoa mawazo.
  6. windows8.1

    JamiiForums Tanzania Wenye uelewa juu ya Bodi ya Ugavi (PSPTB)

    poleni wote mlio wapenzi wa jukwaa hili kwa mihangaiko ya kutwa nzima.Lengo langu ni kutaka kufahamu namna ambavyo PSPTB inavyo mkonsider mtu mwenye postgraduate diploma ya ugavi na aliye na digrii tofauti na ugavi. Binafsi,ninasoma postgraduate diploma ya ugavi katika chuo cha T.I.A ila...
  7. windows8.1

    JamiiForums Tanzania Post Graduate Diploma v/s Bachelor Degree

    Za muda tena wadau wa jukwaa hili! Naomba kujua je! mtu mwenye post graduate diploma iliyo tofauti na digrii yake ya kwanza anaweza kuwa na ufanisi ulio sawa katika utendaji na mtu mwenye bachelor degree ya kozi husika? Kalibuni sana.
  8. windows8.1

    JamiiForums Tanzania post graduate diploma in procurement and logistics.

    Namshukulu Mungu kwa kupata nafasi ya masomo kwa ngazi ya post graduate diploma in procurement and logistic management katika chuo cha Tanzania Institute of Accountancy.Je, ngazi ipi nitayoanzia pindi nikitaka kufanya mitihani ya bodi ya ugavi (psptb) mara baada ya kuhitimu kozi hii? pia...
  9. windows8.1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daaah,Kidani sehemu za siri?

    mh mh!
  10. windows8.1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke: Usafi wa 'maakuli' muhimu, sio vizuri kukutana na mtu ananuka sehemu za siri

    Ni vyema ukatujuza chanzo cha harufu! je,ni papuchi tu ndo inanuka au mwili mzima?
  11. windows8.1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke: Usafi wa 'maakuli' muhimu, sio vizuri kukutana na mtu ananuka sehemu za siri

    Ni vyema ukatujuza chanzo cha harufu! je,ni papuchi tu ndo inanuka au mwili mzima?
  12. windows8.1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi wanandoa/wapenzi kuvaliana nguo za ndani

    Hii muuupyaa kwakweli,mh!!
  13. windows8.1

    JamiiForums Tanzania UDOM-COED! Kilio ni maji maji maji

    Natumaini Mlacha analitambua tatizo maana si tatizo la jana wala leo ndugu!
Back
Top Bottom