Recent content by window9

  1. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo cha samsung A70

    Husika na kichwa hapo juu mwenye nacho anicheck kwa no 0678288666 hii kiwe used au kipya kwa bei za kitanzania.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Hotspot kwenye iphone kupitia line ya halotel

    Hapa kwenye ku bypass ndio napahitaji nijue yangu haiset 4g only ipo automatic tu ni android A70
  3. W

    JamiiForums Tanzania ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

    Usiombe kupima na unajijua umepita sehem za hatari hatariii.me nilibananishwa na wifeee la sivyo mpaka leo nisingepima nilijua na mimi ninao aisee nilihamia kwenye pombee kwa sana mpaka wife akawa ananishangaa tu kumbe nina siri yangu moyoni
  4. W

    JamiiForums Tanzania ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] uncle pole sanaa
  5. W

    JamiiForums Tanzania ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

    Hahaha sisi wenye group 0+ tunatesa tuuu.hivi ni kweli hatupati magonjwa kirahisi? Ila kama kuna ukweli hivi ....nilitembeaga na mdada mmoja hivi kavukavu na nikaja kusikia ameungua hahaha nilikonda ndani ya week tu. Nilikuja kupima baadaya wife kushika mimba hiyo siku nusura nikimbie majibu...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Biashara ya memory card na flash inasaidia kujikimu

    Original au ndio zile flash ya gb 64 inajaa kwa mb100??!
  7. W

    JamiiForums Tanzania Simu yangu ya samsung a 71 naomba msaada

    Machine haziingiliani mkuu.hiyo machine yako wauza bei gani? Na kiio kimekufaje?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Selcom machine inauzwa

    Yes mkuu
  9. W

    JamiiForums Tanzania Selcom machine inauzwa

    Bei kali sana mkuu fanya upunguze.sahizi zimeshuka bei.ukipunguza pesa ipo mfuko wa shati.nicheck 0678288666 mida hii
  10. W

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie Wireless Earbuds kwa bei nafuu - Arusha

    Charge inakaa mda gani?
  11. W

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie Wireless Earbuds kwa bei nafuu - Arusha

    Nitaipataje hii nipo dar?
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kufuru michango ya harusi ya Dida, mazito yaibuka...

    Hii kuna mtu kahack account ya whatsap ya dida huoni hiyo ni pc
  13. W

    JamiiForums Tanzania Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    A70 mkuu
  14. W

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Simu, Music system, laptop na home Theater

    Kuna jamaa yangu aliniletea hizo speaker za sony bila radio yake alitaka 100000 tu.nikaona kama ananiibia vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kibaha: Watu wawili waliotoka jela kwa msamaha wauawa

    Kwa msaada zaidi manaake ikishakuwa damuni ni ngumu kuacha kwa kibena wanasema ilimudanda ipo damuni
Back
Top Bottom