Anahitaji mdada kwa ajili ya duka la nguo , lipo mwananyamala komakoma awe anayeishi jirani na maeneo hayo, mshahara 150,000, awe na uwezo wa kutumia social media kutangaza
Mawailiano , Whatsapp 0754200363
Aliweka mamilioni mangapi , wakati ili mwaka uliopita upate laki mbili ilibidi kwa mwaka jana CRDB ilibidi uwe na hisa 3100 approximate , na kwa bei ya hisa moja wakati huo ilikuwa 850 basi alihitaji kuweka 2.7M ili kupata laki mbili
Wewe tafuta toyota kwa mazingira yako na gari unayopenda unaweza pata toyota surf niliwahi ona inauzwa around 30M , gari nje ya toyota itakutesa , uzuri wa toyota hata oil/spea ikiwa sio inaweza vumilia kidogo, sasa kwa mgeni wa magari lazima utakutana na hiyo mikasa
ETF ni nini?
ETF (Exchange Traded Fund) ni mfuko wa uwekezaji unaokusanya kampuni nyingi ndani ya bidhaa moja, na unauzwa kwenye soko la hisa kama hisa ya kawaida.
Ukinunua “unit” moja, unamiliki sehemu ya kampuni zote zilizo ndani ya huo mfuko.
iTrust EAC Large Cap ETF – IPO
Mamlaka ya...
A new definition of closing price has been adopted, calculated as the volume-weighted average price (VWAP) of trades executed during the trading session, provided a minimum of 100 shares is traded per transaction. This replaces the previous rule that relied on a percentage of issued shares and...
Hapo price ilibadilika kutokana na kubadilika kwa kanuni za DSE ndio maana hisa nyingi zilipanda sana au kushuka .Zilikuwa issue tatu moja wapo ni jinsi ya calculation za beinya hisa
Investment kwenye hisa sio kazi ya hisia tu , sasa mtu ametoka kukupa dividend ya Tsh 65 kwa hisa moja , alafu wewe unadai bei ya hisa moja ingekuwa TSh 20, yani ununue hisa bei hiyo ulipwe gawio mara tatu yake , sababu financial statement zimeknyesha kuimprove kila sehemu ukilinganisha na...
Hamna cha juu na wala sio connection kwamba inabidi atoe hela , ni kwasababu siwezi toa namba ya mtu mtandaoni , nikimpa namba ni kuwa itakuwa straight tu njoo na vitu hivi au atampigia hesabu na kukubaliabana halafu imeisha , otherwise aende tu tawi lolote la NBC atapewa vigezo na document...
hakikisha pesa unayotaka kuchukulia mkopo ipo kwenye bond fund na umepata angalau installment moja , weka akaunti ya kulipia iwe NBC alafu nicheki nitakupa connection na mtu wa NBC, unapata mapema tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.